mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Putin kuwania tena Urais kwa mara ya 5 mwaka 2024

    Kiongozi huyo aliyetawala tangu mwaka 2000 akichukua madaraka kutoka kwa Boris Yeltsin ametangaza nia yake leo Desemba 8, 2023 huku akidai ana uhakika wa kushinda Urais kwa zaidi ya 80% ya Kura. Mwaka 2020, Serikali ya Putin mwenye umri wa miaka 71 ilifanya mabadiliko ya kuondoa ukomo wa mihula...
  2. Je, unajua kuwa mwaka wa Wasukuma una siku 364 + 11?

    Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza. Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako. Wasukuma sio wa kwanza kufanya...
  3. D

    Tuelezane; Mwaka 2024 una malengo gani umepanga kutimiza

    Well, Hopefully kila mtu yuko sawa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, funguka malengo yako uliyopanga kutimiza mwakani ili upate kujua wenzako wana maoni na ushauri gani kukuwezesha kufanikisha swala lako. Kumbuka, wanaotaka kwenda mbali wanakwenda pamoja.
  4. Tafakari ya kabla ya sherehe za mwisho wa mwaka

    Ukiona yafuatayo yanakuandama jitafakari: 1. Kutumwa tumwa na hata uliowazidi umri, 2. Kuombwa kuchinja, kukata kuni, kuosha magari, kutafuta ng'ombe/mbuzi wa kitoweo, n.k 3. Kutoshirikishwa kwenye maamuzi ya familia/ukoo, 4. Vikao vinaendelea wewe unawekwa busy kuandaa maakuli, 5. Kuombewa lift...
  5. W

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  6. Pata huduma bora ya usafi Mwisho wa mwaka

    Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Ninajivunia kutoa; Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako. Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea huduma ya usafi bila usumbufu. Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
  7. K

    Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

    Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
  8. Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  9. Picha ya kufungia mwaka hii hapa

    Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa. Toa maoni yako.
  10. N

    Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  11. Taasisi ya MOI yasema inatoa msamaha wa Tsh. Bilioni 3 kila mwaka kwa wagonjwa wanaokosa gharama za matibabu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
  12. Tabia ya wachaga kurudi kwao Kilimanjaro kila ifikapo mwisho wa mwaka ni jambo zuri na la kuigwa na makabila mengine

    Niwapongeze sana wachaga kwa utaratibu wao wa kukutana kila ufikapo mwisho wa mwaka, Sababu zao kukutana ni kama ifutavyo 1. Kukutana na kuonana live ndugu jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa takribani mwaka mzima kwenye harakati za utafutaji. 2. Kusherehekea kumaliza mwaka salama kwa...
  13. Progamu mtoto anazoweza kufanya wakati huu wa likizo ya mwisho wa mwaka

    Salaam Wazazi/Walezi Kama mnavyojua vijana wetu wanakaribia kuanza likizo yao ya mwisho wa mwaka. Tuwapongeze kwa kuweza kupambana na masomo yao kwa kipindi chote mwaka huu. Shule huchosha akili, hasa hizi shule ya English Medium zimekuwa zikiwarundikia kazi wanafunzi hivyo kukosa muda wa...
  14. Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  15. Yaani mtoto amesomeshwa mwaka mzima. Mzazi arudie kwa wiki moja.

    Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea??? Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake. Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa?? Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
  16. HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  17. Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  18. S

    Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  19. SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  20. Tanzania imekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21 Mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 Mwaka 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania imekua na ongezeko kubwa la watu wanao tumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022 ambapo ni hatua chanya ya kufikia lengo la 6.2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya 2030 “Sustainable Development Goals”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…