mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

    Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni. Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
  2. Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

    Huyu dada nimekuwa naye kama miezi 6 sasa. Siku zote alikuwa mstaarabu sana.... Siku za karibuni nlianza tu kuona nakosa hisia kwake. Sababu mahitaji yake yalikuwa yanazidi kila siku. Leo ameamua kuniacha. Kaniacha katika kipindi ambacho namwitaji sana kutokana na hizi mvua na hali ya hewa.
  3. S

    DOKEZO Benki kuu ya Tanzania(BOT) ni kweli mnalipa pesa za nauli kwa ubaguzi? Walimu wa Halmashauri ya Tunduru hatujalipwa tokea mwaka jana

    Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru tunaambiwa maombi yenu tulishayapeleka BOT. Kwanza nataka...
  4. Usafiri wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina waonesha uhai wa China

    Wizara ya Uchukuzi ya China hivi karibuni inakadiria kuwa idadi ya watu watakaosafiri wakati wa Chunyun itafikia bilioni 9, kiwango ambacho kitakuwa rekodi mpya katika historia. Chunyun, maana yake ni kilele cha usafiri wa abiria wakati wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina. Kipindi cha...
  5. Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

    Wakuu, happy new year 2024. Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane: 1. Uwanja wa ndege wa Msalato 2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar 3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama 4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
  6. Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

    Tunaamini elimu tunayoipata huko vyuoni na mashuleni, inatupa uhuru wa kufanya maamuzi sahihi katika uzalishaji mali pamoja na kujitegemea. Tulitegemea ujuzi na elimu ulioipata huko duniani n.k iwe chachu ya wewe kujijenga na kuanzisha na kumiliki kampuni, taasisi, au kiwanda ili pia iweze...
  7. Simba imeamua kuua timu kwa makusudi kama ilivyofanya Azam ilipokuwa kwenye kilele cha ubora mwaka 2017

    Shida ni viongozi wenye tamaa. Azam ikiwa na kikosi bora iliuza kila mchezaji tegemewa eti ijenge timu upya mwaka 2017. Aishi Manula, Kapombe, Boko wote wakatua simba. Wakimfata shabalala aliyekulia huko huko. Ndio njia inayopitia Simba. Kila mchezaji anayekuja na kufanya vizuri hatakiwi...
  8. L

    Ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika kwa mwaka 2024 unatarajiwa kuimarika

    Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha uwekezaji wa moja kwa moja. Katika kipindi cha miaka miwili hadi minne iliyopita, kutokana na...
  9. W

    Mwaka 2023 ulikuwa wenye joto zaidi katika historia

    Kulingana na data kutoka Shirika ya Hali ya Hewa ya Copernicus, wastani wa joto la Dunia mwaka jana 2023 lilikuwa nyuzi 1.48 Celsius joto zaidi kuliko miaka iliyotangulia. Wataalam watahadharisha mataifa kufanya mabadiliko ya haraka kutoka kwenye nishati chafu la sivyo joto litakuwa kali zaidi...
  10. L

    Diplomasia ya China kwa mwaka 2024 itaendelea kuwa ya kuhimiza amani duniani na kuleta mambo ya kisasa

    Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
  11. Kwa jinsi AFCON inavyokwenda, sitashangaa underdog team kunyakua taji hilo la Afrika mwaka huu

    Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka). Timu kubwa kama Misri, Ghana, Tunisia, Cameroon zimegaragazwa na underdogs kama Namibia, Guinea, Msumbiji...
  12. B

    Mwenye ufahamu wa elimu ya vipande BOT, mtaji wa 30,000,000 Tshs unaweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka?

    Kuna wale akina sisi ambao tunaona risk kufanya biashara ambayo mazingira yake hapa kwetu hayatabiriki na hubadilika badilika. Je endapo nina 30 M Halafu nafikiria kuweka bond za BOT, je naweza kupata faida ya shilingi ngapi kwa mwaka? Masharti ni yapi? Nimepiga hesabu liquid fund ya UTT...
  13. Ivory Coast vs Guinea Bissau wanaanza leo, Nchi gani itaibuka na Ubingwa wa AFCON mwaka huu?

    Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan. #Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
  14. S

    DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
  15. Kama Uchumbani unapewa mchezo kwa mbinde usimuoe! Ukifosi kumuoa jiandae kunyimwa hata mwezi/ mwaka mzima

    Suala la sex lina uzito sana ndani ya ndoa hasa kwa mwanaume ambae kaumbwa na matamanio makubwa kwenye ya libido / sex drive. Unapoona mwenzako uchumbani kwenye suala la mchezo ni mpaka ajivute vute, hadi umuhonge, umbembeleze sana na pengine hana hisia kwenye sex basi huyo ni wa kupiga na...
  16. Vitu vya kuviondoa kwenye CV yako mwaka 2024 (Things to remove from your CV in 2024)

    1. Career Objective: Avoid starting your CV with a generic career objective that focuses on what you seek rather than highlighting your value to the role. You can include an objective if you are doing a career pivot or if you are a fresh graduate. 2. Personal Information: Omit details like home...
  17. Watu 163,131 walikutwa na Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI mwaka 2023 Tanzania

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam ambapo amesema katika mwaka 2023 jumla ya Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) na Watu...
  18. Wagonjwa 1,622,979 walilazwa Hospitali nchini Tanzania mwaka 2023

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wagonjwa 1,622,979 walilazwa katika Hospitali na Vituo vya Afya nchini Tanzania kulinganisha na Wagonjwa 1,630,722 waliolazwa mwaka 2022 Pia, Mahudhurio ya Wagonjwa wa Nje (Wasiolazwa) yalikuwa Milioni 41.3 kulinganisha na...
  19. Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  20. PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…