mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

    Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za Uhaini, amemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la watuhumiwa hao...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

    Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili. Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo . --- Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi wamekamatwa kwa kauli za Kutaka Serikali Ipinduliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Masahibu yalowakumba Dkt. Slaa na Mwabukusi ni moja ya hatua muhimu za udhibiti, kwa kiingereza huitwa "Purge"

    Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la kukamatwa Dr Slaa na Mwabukusi na wenzao na kisha kubadilishiwa makosa kutoka kuwa ya uchochezi hadi kuwa ya...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, Mdude, Madereka na Mwabukusi kujumuishwa kwenye tume ya mipango?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Wakati Rais Samia akipokea ripoti ya Tume ya Haki Jinai aliagiza kuwa watu wote wanaokosoa kwa hoja wajumuishwe kwenye tume ya mipango. Badala ya kutekeleza agizo la rais, polisi wamewakamata watanzania hawa na kuwafungulia mashitaka ya uhaini. Tume ya Haki za...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude bado Giza Totoro

    Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa tuhuma za uhaini. Kufuatia madai hayo, baadhi ya wanasheria nchini wamezungumzia hatua hiyo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Katiba, Tume ya Haki za Binadamu na TLS watoa tamko kali kuachiwa mara moja akina Dkt. Slaa na Mwabukusi

    Kwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia huru watuhumiwa wa Uhaini Dr Wilbroad Peter Slaa, Wakili Mwabukusi na Mwanaharakati Mdude Nyangali...
  10. N

    JamiiForums Tanzania LHRC, THRDC, TLS Waungana kuwataka polisi kuwaachia Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude

    Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na wanaharakati Dk Wilbroad Slaa na Mpaluka Nyagali Mdude, baadhi ya watetezi wa haki za binadamu nchini wameungana kwa pamoja wakilaani kitendo hicho huku wakipinga kosa la uhaini wanalotuhumiwa nalo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa

    Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia. Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  14. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wakili Mwabukusi ni mhaini?

    Mama, shikamoo. Naomba nikuulize swali, ni kweli wakili msomi Boniface Mwabukusi ni mhaini? Maandiko yanakata kumshitaki mtu yeyote kwa uwongo. Kama Mwabukusi alitaka kukuua ama kukupindua au kukufanyia lolote baya kuathiri utawala wako, basi anastahili kuadhibiwa adhabu kali. Mama, tenda...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo Kamata kamata inaendelea Zamu hii Dr. Slaa akamatwa leo jumapili tarehe 14/08/2023....
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi atoa ufafanuzi juu ya hukumu ya mahakama na hoja wanazopeleka mahakama ya rufaa kupinga hukumu

    Mwabukusi anasema kuwa mahakama imejielekeza vibaya katika hukumu yake na kwa maana hiyo wanaenda kukata rufaa. Mwabukusi anasema professionally anaipokea hukumu, lakini legally wateja wake hawajaridhika na hukumu hiyo na ndiyo wanaenda kutafuta haki zaidi. Hoja zake ziko hapa:
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023 ---- UPDATE---- Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
Back
Top Bottom