Anayelengwa ni Mwabukusi, hao wengine ni Gelesha tu

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,330
33,954
Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake.

Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa bandari inampa wafuasi wa kudumu Mwabukusi.

Kama ombi la Tulia la kugawanywa kwa Jimbo la Mbeya Mjini litakubaliwa, bado tishio la kukutana na upinzani mkali ama toka kwa Mwabukusi au Sugu litakuwepo.

Kwa Hiyo hofu dhidi ya Mwabukusi inatoka zaidi kwa Tulia Ackson kuliko kwa Rais Samia.
 
Kwa katiba ipi, tunatakiwa tuitishe maandamano ya AMANI Nchi nzima ya kudai mchakato wa KATIBA MPYA upelekwe fasta.

Na plan B iwe kama hatutopata KATIBA MPYA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 basi Katiba hii ya Chama kimoja ifanyiwe marekebisho ili mchakato uendeelee baada ya chaguzi
 
Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake.

Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa bandari inampa wafuasi wa kudumu Mwabukusi.

Kama ombi la Tulia la kugawanywa kwa Jimbo la Mbeya Mjini litakubaliwa, bado tishio la kukutana na upinzani mkali ama toka kwa Mwabukusi au Sugu litakuwepo.

Kwa Hiyo hofu dhidi ya Mwabukusi inatoka zaidi kwa Tulia Ackson kuliko kwa Rais Samia.
Kama hili ni ukweli basi tuna siasa za hovyo sana.
 
Kumbe
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Watuhumiwa wote wa uhaini wataachiwa hivi punde, wameanza na Mzee Slaa watafuata hao vijana waliobakia.
Hawa watu ni katili sana wanapopigania maslahi yao. Uliwahi kuwaza kuwa Mbowe angekaa muda wote ule gerezani Kwa kesi Ile ya Mchongo?
 
List ipo, anaeingia kwenye vigezi vya miapaka iliyowwekwa lazima baada ya muda mchache sana abadilishe chorus.

Sasa muone chorus ya Slaa itavyobadilika.
Koras inayobadilishwa kiharamu Mungu hapendi.

Hakuna list yoyote ile ila kuna msako bandia wa kutafuta kibuyu cha mchawi wakati inajulikana wazi kuwa Kiko kilingenii!!
 
List ipo, anaeingia kwenye vigezi vya miapaka iliyowwekwa lazima baada ya muda mchache sana abadilishe chorus.

Sasa muone chorus ya Slaa itavyobadilika.
Wewe ndie umebadilisha chorus, acha uzushi.

Si ulikuwa unasema sasa itakuwa safari ya ushahidi haujakamilika kwa Dr. Slaa mpaka aozee gerezani?!

Au umejisahau bibi!.
 
Na unaamini ww ni muislamu unaevizia watu kwenye 18
Wewe usitake kuleta simanzi za kidini. Kwa kuwa Muislam ndiyo nipandiwe kichwani?

Soma historia ya nchi hii, hakutupandia kichwani Mreno, Waislam ndiyo tulimtowa. Hakutupandia kichwani Mjerumani, Waislam pekee ndiyo tulipamba nae, osma hitoria ya vita vya majimaji. na Mkwawa. Soma kuhusu Bushiri na milambo na wengine wengi ambao historia ya Muingereza ikawaficha ficha.

Soma kuhusu Muingerea, ni kina nani walinzisha kudai uhuru mpaka unapatikana.

Soma kuhusu baada ya uhuru mpaka leo hii ujionee jinsi kanisa linavyotumika kujaribu kuuzuwia Waislam wanavyoumizwa. Mpaka leo hii ushahidi kamili ni wewe kibaraka wa wazungu. Kidogo tu, umerukia "Muislam", Uislam ulikuwa unahusu nini kwenye huu mjadala?

Mnalikoroga.
 
Back
Top Bottom