mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika. PIA SOMA -...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?

    Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha Wanasheria, sijui kwanini waliamua kukiua. Bali sasa Ujio wa Boniface Mwabukusi kwenye uongozi wa Chama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi apewa onyo na kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'

    Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi amebainisha hayo leo tarehe 17 Mei 2024, kimsingi kamati wamekubaliana ilikuwa ni professional...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi na Godbless Lema Watikisa Moshi Mjini

    Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kweli hautaletwa na wasakatonge utaletwa na watu waliotoa nafsi zao kama Mdude na Mwabukusi

    Uhuru wa kweli utaletwa na watu ambao wako tayari kupoteza kilaKitu isipokuwa uhuru. Mwenyekiti wa chadema na muunga mkono kuhusu maandamano lakini nimekumbuka jinsi alivyo kejelinharakati za mdude na mwabukusi kuhusu kujiunga na maandamano yao. Kwa kuwa uchaguzi ni maslahi ya moja kwa moja...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi ni Pandikizi la CCM? Ndiye mvurugaji mkuu wa Demokrasia!

    https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Nimemsikiliza Boniphace Mwabukusi, nimegundua yafuatayo kutoka kwake na namna akivyo 1. Ni Clip ndefu kiasi. 2. Nimeisikiliza yote 3. Alianza kuongea vizuri sana 4. Alitulia na kutoa hoja zenye nguvu. Anaamini Muda unatosha kuwa na katiba mpya...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

    Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi. https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania MWABUKUSI atoa neno juu ya Wajumbe Chipukizi CCM "Wametutawala wao wanataka na watoto wao watutawale"

    Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania. Katika vinyanganyiro...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kama Kiongozi wa Umma hataki mambo yake yawe wazi kwa Umma, aachie Ofisi

    Nchi zetu za Kiafrika kila kitu ni changamoto sana. Viongozi wetu wanatamani kuwa viongozi wa Umma, lakini hawataki mambo yao yoyote yajulikane na Umma, Ajabu kwa kweli. Ndiyo maana Wakili Msomi Boniface Mwabukusi aliwahi kusema kwamba; 'Kama kiongozi wa Umma hataki mambo yake yajulikane na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

    Salaam , Shalom! Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi. Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio. Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maandamano ya Mwabukusi na Mdude 9/11/2023, wasizuiwe waachwe maana hayana maana, watapuuzwa na wananchi

    Kinachokwendwa kufanywa na wakili Mwabukusi na mwanaharakati Mdude tarehe 9/11/2023 juu ya maandamano waliyopanga ni kujaribu kuficha aibu ya kuumbuka kwa upotoshaji wao. Maandamano hayo ya tarehe 9/11/2023 awali yalipangwa kufanyika 30/09/2023 na kama yangefanyika kipindi hiko na hoja...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania UWT kumsaidia kukata Rufaa Maria aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

    Wananchi wanapokuwa na jambo lao katiba inawaruhusu kuandamana au kukusanyika kuliongelea. Kwenye hili, polisi ni mawakala wa wanaolalamikiwa. Mlalamikiwa au wakala wake wanaupata wapi uhalali wa kujaribu kumnyamazisha mlalamikaji wao kwa maguvu ya msuli wa mwili, vitisho au hata mtutu wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Inyangwa. Ugali wa ndizi unaofanya Wanyakyusa wawe critical thinkers kama kina Mwakyembe, Mwabukusi, Ulimboka, Mwandosya, Mwaisyeje

    Huu ni ugali wa ndizi ulio na maajabu. Ukiula hautabaki jinsi ulivyo.
  18. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi, Dkt Slaa, Mdude, Sauti ya Watanzania waongezewe Ulinzi

    Huu ni wito wa tahadhali kabla ya hatari. Beberu akiuita "security alert." Hali ya hewa imebadika, matumaini ya watanzania yaliyokuwa yamefifia mno, hatimaye ghafla yamefufuka. Mungu atupe nini Ya-Rabi sisi? Zama zile zilizokuwa zimepotea, ghafla zimerejea. Tena si kitoto, bali kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

    Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni." Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi. "Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge." Hii ni dibaji tu: "Yaani mwanzo wa ngoma .." Kwamba kama ni mvua...
Back
Top Bottom