mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

    Ukombozi ni safari ndefu. Hatimaye uelekeo Tahrir unasomeka waziwazi. Kulikoni? 1. Katiba Mpya ni sasa! 2. Hakuna Katiba, Mpya hakuna uchaguzi. 3. Biashara ya bandari, haipo. "Wale watanzania wenzetu, wana halisi wa nchi hii wamerejea Mbeya na kupokelewa kwa kishindo: Mungu atupe nini...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

    Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi: "Kupambana na maadui zetu kwa vitendo." Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na hatimaye ushindi ni dhahiri. "Kwani ni lini maneno matupu hata yalipata kuvunja mfupa?" Ajabu na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

    Jitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo. Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi. Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi? Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote: Hapa ndipo zilipo tofauti zetu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

    Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
  6. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwabukusi kuelekea maandamano ya kitaifa

    Salaam wana jukwaa, nimekutana na interview ya Wakili Mwabukusi na Maria Sarungi probably kutoka Maria spaces/clubhouse. Cha kushangaza Wakili msomi alikua busy kushambulia wapinzani kuwa ni wawaza ubunge, wapenda vyeo n.k. Hivi kweli hajui struggle za lissu hadi kumwagiwa risasi, hajui mbowe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Viva Mwabukusi, mlipo tupo!

    Jemedali Mwabukusi amevunja ukimya. Yapo mengi yenye kutukwaza kwenye nchi na vyama hivi tulivyomo. Kulikoni katiba mpya kutokuwa kipaumbele? Kulikoni vyama kupewa ruzuku? Kulikoni malipo ya kufuru kwa wabunge? Kulikoni wagombea binafsi kuharamishwa? Ajabu na kweli janja janja hIzi za CCM...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

    Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM! Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

    Waache wafanye Kazi yao na kwa Taarifa yako tu isingekuwa Ushujaa wait na Kulipambania Taifa hili kwa Uweledi Wao Uliotukuka ya Amboni Tanga na MKIRU Pwani yangeleta madhara na maafa makubwa nchini kiasi kwamba hata hizo Bia unazopenda Kunywa na hizo Nyama Choma zinazokunenepesha Mashavu yako...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Advocate Boniface Mwabukusi: The Sun Rising From Busokelo

    Hello dear colleagues JF members. I love you all. I hope you all are doing well. Today I feel like sharing with you something very special. This is about the meaning of the name Busokelo; one of councils in Mbeya region. Busokelo literally means the place where the sun rises. And of...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungwana ya kumuita mwizi

    Mwabukusi amesema mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungana ya kumuita mwizi, akisema kama mtu anataka heshima ya kinafiki atoke kwenye ofisi za umma akakae nyumbani kwake ambako atasifiwa wakati wote. Akaongeza kuwa kama ukikaa kwenye ofisi za umma hauna faragha unayoitaka, ukiiba au ukiwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunaanzia tulipoishia, hatutanyamaza

    Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano na waandishi unaendelea wakati huu tar 5/9/2023 akiwa pamoja na Dr. Slaa, akisema wao watasimamia kwenye sheria na wanachotaka ni IGA kuondolewa. Mwabukusi amesema wameonewa sababu maandamano ni haki ya kikatiba, akiongeza unapokuwa na cheo usiongozwe na...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Nchi yetu inaongozwa kishamba, pamoja na IGA sasa tutadai pia Katiba Mpya ya wananchi

    Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mbatia wanazungumza. https://www.youtube.com/live/CpVkVel-IRM?si=kRb-q_tl6RKvlnne === Wakili Mwabukusi anazungumza Juzi walitaka kubadilisha makubaliano ya Mkataba huu kati ya Taifa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Mwabukusi; Je, ndiye 'Daudi' wa Tanzania au tumtazamie mwingine?

    Nawasalimu kwa jina la Bwana. Leo nimekumbuka kisa kilichoandikwa kwenye Biblia, 1 Samweli 17. Sura hii kwa ufupi inahusu kisa cha kijana mdogo Daudi na Goliathi. Daudi alikuwa ni mchunga kondoo ambaye hakuwa na uzoefu katika masuala ya vita ilhali Goliathi alikuwa ni mpiganaji mwenye uzoefu...
  16. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wakili Mwabukusi na Mdude hawajulikani walipo, leo Agosti 28, 2023

    Masaa kadhaa yaliyopita baada ya Mdude kutoa taarifa za kufuatiliwa akiwa aa Wakili Mwabukusi Mkoani Arusha, kwa takribani lisaa sasa wote wawili hawapatikani kwenye simu zao na haijulikani walipo. Tumefanya Mawasiliano na Watu waliokuwa nao Mahakamani kucheki kituo vya Polisi Arusha kama wapo.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

    Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Akina Mwabukusi wako wengi na kila Mwabukusi atakayeibuka atakuwa mkali kuliko aliyetangulia

    Alianza Ben haijulikani alipotea au alipotezwa akaibuka Mdude. Mdude akadhibitiwa kwa tahadhari kubwa sana Lakini akashindikana na amekuwa Sugu zaidi. Ghafla kaibuka Mwabukusi katika Mfumo uleule wa kutoogopa wala kuendekeza njaa kama tumbili 😂 Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 wataibuka akina...
  19. J

    JamiiForums Tanzania DAS Busega aandika waraka Mwabukusi ashungulikiwe

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha ameandika waraka akitaka Wakili Boniface Mwabukusi ashughulikiwe.
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Anayelengwa ni Mwabukusi, hao wengine ni Gelesha tu

    Mwabukusi Boniface Mwaka 2020 aligombea ubunge Mbeya Mjini kupitia NCCR -Mageuzi na kama mwenzake wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) alidhulumiwa nafasi yake. Kuna watu kama Tulia Ackson Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini, wanaoona kwamba kete hii ya Mwabukusi ya utetezi dhidi ya Ubinafishaji wa...
Back
Top Bottom