mvuto

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwanasiasa gani kwa sasa mwenye mvuto na ushawishi zaidi kwa jamii ambaye anastahili kuwa alama ya siasa za Tanzania?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Habari wanaJF, Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Rais wetu ni faida kwa Taifa

    Rais wetu wa JMT ni raisi ambae amebahatika kuwa na mvuto ambao kwa hakika hatujawahi kuwa na Rais ambae anakubalika na makundi yote haswa baada kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini . Mvuto wa Rais wetu kimsingi umechangiwa na vitu vingi kama vile ;Sura yake ,rangi ,na Sauti yake isoyonesha...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanasisasa wa upinzani wamepoteza mvuto katika jamii? Ni uthibitisho kuwa jamii haiwaamini tena?

    Zamani wanasiasa wa upinzani walikuwa wakisimama kuongea ulikuwa unaona jamii nzima inazizima. Na kila mtu anaona wameongea hoja za msingi. Siku hizi hakuna anayeona kama kuna la msingi wameongea na jamii ina wapuuza huku ikiwaponda kimoyomoyo na kimaneno. Mfano ni Halima Mdee anaongea pumba...
  5. JamiiForums Tanzania Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

    Habari wana JF. Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men wengi tunakuwa ile ya kujichukulia poa yani mtu unajidharau unajiona kama vile hauvutii wanawake,hii...
  6. JamiiForums Tanzania 21days of mourning with new troubles of economic shake "Wanyonge" we are survive as flies

    Hayo madini tulionayo , Tafuteni kodi huko Punguzeni mishahara ya Wabunge Sisi "Wanyonge tumewakosea nn mpaka mtufanyie hivi .?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Third kit ya Simba miongoni mwa jezi bora Afrika

    Mara baada ya week hii simba kuwaloga CAF na kuwahong kabisa hadi kuwekwa namba 17 kwa ubora barani Afrika wakiwa wamejikusanyia points 14 kwa mujibu wa CAF 5 year ranking sytem wamefanya umafia mwingine badaa ya kutumia uchawi wa paka mweusi na kuwekwa katika list ya teams zenye jezi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini sikukuu za Krismasi za miaka hii zimepoteza mvuto?

    Habari wadau, Sijuhi ni macho yangu tu au hata wengine mnaona kama ninavyoona mimi. Wale tuliozaliwa miaka ya 80' kushuka chini ni mashuhuda kwamba zamani ikishafika miezi ya mwisho wa wa November kwenda December kulikuwa na mishe mishe mingi mitaani hata station za radio zilikuwa zikigonga...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Clouds Media imepoteza mvuto

    Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali ya imebadilika clouds imepata ushindani mkubwa kutoka Wasafi media na Efm ila hasa hasa Ni Wasafi...
  10. JamiiForums Tanzania Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

    Mzuka wanajamvi. Haka ka red head kazuri sana miaka 23 plus size model lakini Uingereza eti wanamuona ugly na hana mvuto. Sasa najiuliza WTF really is wrong with this people?!😠😠😠 Sasa huyu hapo chini ni mdogo wake kate mke wa prince William wanamsifu mrembo na ana umbo la kuvutia balaa yani...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

    Nimetafakari. Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter. Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makanjanja wengi kwenye vyombo vya habari sababu ya kupoteza mvuto....

    Nimejaribu kufuatilia vyombo vya habari karibia vyoote (vya Redio na TV) hasa kipindi hiki cha uchaguzi na kugundua kuwa asilimia kubwa ya vyombo vya habari vimepoteza weredi wa kutoa matangazo yenye tija na ubora kwa jamii tofauti na ilivyokuwa hapo siku za nyuma. Nimejaribu kufuatilia nyanja...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Vyama vya Siasa kujua kama vina mvuto na vinapendwa na wananchi ni hivi hapa

    oi
  14. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli haikuwa hotuba ya Mgombea Urais, ilikuwa Hotuba ya Mgombea Uwaziri wa Miundombinu. Imekosa mvuto mpaka mwisho

    Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi. Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakati kampeni zikianza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa na mvuto zaidi ya mgombea wa CCM John Magufuli

    Wakati kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu zinaanza mwishoni mwa wiki hii, ni dhahiri kuwa mapambano huo utakuwa mkali sana, baina ya mgombea wa Chadema, Tundu Lissu na mgombea wa CCM John Pombe Magufuli. Kwanza niainishe ni kwanini naona Tundu Lissu atampiku Magufuli kwenye kampeni hizo...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ngono imepungua mvuto

    Wakuu ni ukweli usiopingika kua ngono kwa sasa imepungua kidogo mvuto ajili ya urahisi wa upatikanaji wake, zamani ule ugum wa upatikanaji wake ulilifanya tendo la ngono kua la pekee sana na hata lilipofanyika mwili ulibaki na feedback ya tendo lile ndani ya siku2-3 tofauti na sasa ambapo mda...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

    Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani. Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili. Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa. Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana...
  18. JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akipitishwa kugombea na chama chake, asitume hii kauli mbiu kwani tayari kuna mtu ameshaiharibu na imeshakosa mvuto kwa watanzania wengi

    Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo. Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasomaji makala wenye sauti ya mvuto Tanzania

    Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii 3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra. 2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko. 1. Mtiga Abdala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…