TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa mikoa 6

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1578662122061.png

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo kwa mikoa ambayo itanyesha mvua kubwa leo ikiwemo Singida, Rukwa, Mbeya, Njombe, Songwe na Iringa.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa kesho Januari 11, 2019 kutakuwa na angalizo la mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

“Januari 12 na 13 hakuna taathari wananchi wanatakiwa kuzingatia angalizo la mvua hizo ili wasipate madhara,”taarifa ya TMA.

TMA imeeleza kiwango cha athari kinachoweza kutokea ni baadhi ya makazi kuzungukwa na maji, ucheleweshaji wa usafiri, kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii
 
Tahadhari ya mwaka Jana, haituhusu.
 
Zile mvua zetu ya siku tano mara mbili na upepo mkali mbona mpaka sasa hatujapewa?
 
Mhariri bado umelala, habari hii inaletwa mwaka 2020 wakati imepitwa na wakati!.

Vinginevyo fanyeni marekebisho kama imekosewa kwenye mwaka 😔!.
 
Back
Top Bottom