Kufahamu engine ya gari kwa Muonekano

KndNo1

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
627
2,025
Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti..
Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo..
Baadhi ni hizi

Prado 70..
Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..!
_20230202_091030.JPG

Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ
_20230202_085230.JPG


Landcruiser Mkonga
Pua mbele.. 1VDFTV
Usiijaribu ukidhani ni mchovu 1hz.. Utaaibika kama mashine yako ndogo..
_20230202_090919.JPG


Hilux pua 1KD..!
_20230202_085404.JPG


Rav4 L V
Hii huwa inakuwa na 3S GE.. Ni tofauti na zile 3S zilizozoeleka.. Hii mwendo upo..
_20230202_085301.JPG


Aristo hii 2jz plain.. Haina mwendo..
_20230202_085511.JPG

V300 Aristo hii 2jz gte.. Turbo ikikickin ni stori nyingine.. Usiifuate..
_20230202_085439.JPG


Harrier
350G..Hii mashine 2GR..kaa nayo mbali usije kupasua pistons..!
_20230202_093428.JPG


Fuga
350GT VQ35
Usiifuate kama una Crown 4GR/Altezza/320i/C200
_20230202_085335.JPG


Vitz RS
1NZ yenye turbo.. Usipokuwa makini inakutoa nishai..!
_20230202_091055.JPG


Subaru
Zimezoeleka ni gari za Kelele nyingi ila Mwendo hakuna..!
Ukikutana na yenye logo STi..EJ25 Iogope kama STDs..!
_20230202_090849.JPG


LC100 ukiona V8 badge..
Hiyo ni Petrol..2UZ..
Ina mwendo kuliko 100 series zote..!
_20230202_091007.JPG


LC200 GX
1VDFTV.. Haitoboi zaidi ya 240kph..hii ndio ya kuipita vizuri..ukiona tumerekodi video ya Wajerumani kuzipita V8 inakuwa ndio hizi GX..
_20230202_090945.JPG


Discovery 4
TDV6 engine ndogo..
_20230202_093400.JPG

SDV6 engine kubwa.. Kuifukuza ujipange.. Twin turbo..!
_20230202_093335.JPG


BMW 540i(E34)
M60 Chuma kama Chuma.. Mkwaju.. V8 engine.. Ikikuomba njia pisha.. Ukifukuzana nayo utachomoa piston kwenye bonnet..!
_20230202_092055.JPG


BMW iliyoandikwa M
Benz iliyoandikwa AMG
Hizi ukibahatika kukutana nazo fanya kupaki pembeni tuu..maana hata uwe na LC300 huwezi moto wa vyuma hivyo..!
 
Back
Top Bottom