Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

Tausi Rehani

Member
Aug 29, 2020
20
40
Kwa wasiomfahamu, Young Lunya Ni Moja ya Rappers wenye flow kali hapa Bongo inayoambatana na unyamwezi mwingi.

Going to the point, Muonekano wa Young Lunya hivi karibuni umekuwa wa kutia Mashaka, Huenda Msanii huyu ana chembechembe za utumiaji wa madawa kutokana na kupoteza muonekano wake wa kijana . Yaani ni kama sura ya uteja inamnyemelea.

Ushauri kama mdau mwenye uzoefu , Jamaa atafute sober house mapema kabla gari halijawaka. Yasije yakatokea kama Ya Chidbenz wadau kama Kalapina walipotutonya kuwa mwana anatumia madawa enzi hizo Chid benz amenawiri kweli, watu wakamjia juu Kalapina kuwa anapotosha,
Ila gari lilipowaka hamna aliyeweza kulizima mpaka leo.

Ni Hayo tu, Anyways Kuna Battle mpya mjini ya Hiphop kati ya msodoki na Lunya🔥

FF0FF1F8-1C3C-4461-8813-18D33D2E8E1D.jpeg
 
Back
Top Bottom