mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mpango wa Mungu kuwavusha Watanzania

    Tazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo. Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi. Tangu Awamu ya Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa ni Mhe Samia Suluhu Hassan...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na binadamu, je ni nani ampe mwenzake pesa?

    Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa? Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
  3. JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

    Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi? Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
  5. JamiiForums Tanzania Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mungu huwa anajibu (Karma)

    Naamini wote wazima wa Afya. Miezi miwili iliyopita nilipigiwa simu kwamba mdogo wangu analia sana yupo stress hata kula hawezi kisa Mwanamke kamuacha. Nikaona ni heri niende kuonana naye nikamshauri sana dogo nikamuambia maisha safari Mungu anakupenda hivyo usikate tamaa. Akaniambia huku...
  7. JamiiForums Tanzania Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

    Wakuu, Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake. Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa...
  8. JamiiForums Tanzania Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

    Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
  9. JamiiForums Tanzania Ni kama Bahati vile ila unaweza sema Mungu kampendelea Rais Samia

    Amani iwe nanyi wadau, Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha. Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu kiasi kupelekea Makampuni ya Gesi na Mafuta kuamka mbio kutoka usingizini na kuanza kufufua zile fursa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi. Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili. Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

    Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC. Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Nawasalimu kwa jina la muungano! Katika vipindi vitatu vya uongozi ambao umekaribiana sana yaani kipindi cha JK,JPM na hiki cha mama yetu nimejifunza mengi kuhusu siasa na uzalendo. Nazungumzia hivi vipindi vitatu kwasababu enzi za kina nyerere na mwinyi huko nyuma uzalendo ulikuwepo na uchungu...
  15. JamiiForums Tanzania Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Katika maisha yangu ya elimu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne sikuwahi kushindwa darasani, mimi kwangu kupitwa katika mtihani nilichukulia ni zaidi ya tusi, baba yangu alinisifia akisema kwamba nina akili kama alizokua nazo yeye ijapokua hakua mtu wa kunipa mahitaji muhimu ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Pete ya dhahabu inauzwa shilingi ngapi?

    Assume unadate na kadada, asubuhi kanakupigia simu kanasema namuomba Mungu akusimamie katika hustle zako siku nzima ya leo 😁😁. Kwan Pete ya dhahabu shingapi wadau.? 😂😂
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Kuna ukweli kuhusu Mungu?

    Moja kati ya mijadala ambayo imezua ugomvi mkubwa duniani na kusababisha vifo kwa watu wengi ni katika suala zima la kuwepo au kuto kuwepo kwa Mungu mmoja.kila imani imejaribu kueleza kivyake kuhusu mtazamo wake juu ya suala la imani ya Mungu lakini katika mengi basi lazima lipo jawabu sahihi...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Lugemalira Mungu anakulinda!

    Hii sakata la Mzee Lugemalira limenifanya nifikiri sana juu ya uwezo mkubwa wa Mungu kuweka level playing field. Mze Lugemalira baada ya kukaa ndani miaka mitano, ametolewa bila masharti yoyote. Kukaa gerzani ni mateso, matesoyaliyo andaliwa na binadamu. Cha ajabu wengi wa waliokuwa madarakani...
  19. JamiiForums Tanzania Dhana ya uwepo wa Mungu na mbingu

    Habari wakuu, Huu mjadala ni mpana sana na upo tangu miaka mingi sana, nitaeleza nadharia ya uwepo wa mbingu na Mungu jinsi ulivyoibuka, nitatumia mifano ya sasa na ya kale ili niweze kueleweka, Nitaanza na concept ya mbingu. Fikiria maisha jinsi yalivyo magumu, fikiria changamoto za kimaisha...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Usipomkimbilia na kumtumikia Mungu, shetani atakukimbilia na kukutumikisha

    Habari ewe mwanadamu. Ninamshukuru Mungu kwaajili yako, pole pia kama upo katika magumu yoyote kwa fikra na macho ya kibinaadamu. Moja kwa moja niende kwenye kusudi la kuanzisha nyuzi hii ambayo naamini endapo utaisoma vyema na kuitendea kazi kazi basi utayaona Mabadiliko kwenye maisha yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…