mungu

  1. G

    Tanzania inapendwa sana na Mungu. Kila tunaloliomba kwake analijibu kikamilifu

    Mzee Kikwete alitulea kwa kutudekeza sana. Tukawa na uhuru uliopitiliza na kutufanya tuseme mambo yatokanayo na "ulevi wa uhuru". Tukamwomba Mungu "atupatie dikteta mzalendo". Akatujibu kwa kutupatia dikteta uchwara awamu ya tano. Tukamlilia tena Mungu kwamba huyu mtu aliyetupatia anatutesa ...
  2. Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi. Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  3. SoC01 Huyu ndiye Kiongozi tunayemtaka Watanzania

    Duniani ni sehemu mzuri sana kuishi kama sisi wenyewe tutaifanya dunia kuwa salama kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Hata hivyo hatuwezi kuishi kiholela, isipokuwa inatulazimu wawepo baadhi yetu watakao simamia mambo yetu na kutuwakilisha katika baadhi ya mambo. Watu hao ni viongozi na watawala...
  4. Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  5. Mungu ni mwema sana, sasa tunawafahamu waliokuwa wakimpotosha Hayati Magufuli kuhusu Corona

    Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip). Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
  6. SoC01 Viongozi acheni ubinafsi, mnamchukiza Mungu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini siwafichi kazi ya kulijenga taifa hili itaendelea kuwa ngumu, ngumu haswa kama viongozi hamtaacha ubinafsi. Nasisitiza tena, taifa hili halitasonga mbele kama viongozi hawataacha ubinafsi. Nchi hii ina utajiri mkubwa sana wa...
  7. Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

    Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba anaandaliwa na mataifa ya Ulaya kuwa Rais wa Gabon. Japo Oliver alikanusha madai hayo lakini...
  8. M

    Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii 1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi 7. Leo Askofu anatangaza dua...
  9. Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake. Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa. Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
  10. S

    Mwenyezi Mungu ikikupendeza, tuendelee na huyu aliepo sasa

    Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake. Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao...
  11. Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  12. Ushauri wenu waja wa Mungu kuhusu ndoa

    Asalaam aleykum... Tumsifu yesu kristo... Mwana kondoo ameshinda... Ama baada ya salamu Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma). Nimekuja kwenu kuomba ushari kwa umri wangu huu wa miaka 24 ni umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa Yaani naweza kuoa...
  13. M

    Ifahamu siri ya pesa

    JAMBO 1 KTK PESA ✍🏿 Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa. 💧 Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata. 🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20 M-pawa. Baada ya miezi sita...
  14. M

    Kwanini hujafanikiwa?

    ✍ KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️ 💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa ) Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa kibiashara lazima uwe na elimu ya kufanikiwa hapa ndo utakuta mtu anataka kuwa kama Fulani ktk biashara ila...
  15. Mungu alishamaliza kazi yake

    Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu. Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata? Tumwachie Mungu Mungu atatenda Nk.. Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!? Mfano: Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira. Lakini ukweli ni mmoja tu. “MUNGU...
  16. Watanganyika tulimkosea nini Mwenyezi Mungu?

    1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri) 2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi) 3. Elimu duni (watoto wa wanyonge) 4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto) 5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele) 6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai) 7. Lishe duni na...
  17. Je, Utaratibu huu wa 'Waswahili' una 'Baraka' za Mungu au labda kwa sasa Shetani 'anaupiga mwingi' Mioyoni mwetu?

    Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye. Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
  18. Tutumie muda mwingi kumshukuru Mungu badala ya kuwa ombaomba muda wote

    Leo nimeguswa sana kuleta neno la Mungu. Hii ituguse wote walioko CCM na wapinzani. Ujumbe ni wote. Kwa muda mrefu sana kwenye haya maisha ya dhambi tumekuwa tukimlilia Mungu na kumuomba atupe hiki au kile. Wengi tunataka pesa, wengine hutaka mume/mke, watoto na vingine vingi. Sio vibaya kuomba...
  19. U

    Hatimae Mungu kajibu. Je, kwa maksi hizi naweza pata mkopo kwa kozi za biashara?

    Nlikuwa nataft principal ya economics hakika nmeipata"C",matokeo ya awal yalikuw n EDE,(hge),saivi naweza omba chuo na mkopo nikapewa 100%? Kwa kozi za biashara?, geog v economics(DC),naomben ushauri
  20. Nape Nnauye uliweza kumuangukia Hayati Magufuli; ni wakati wa kumuangukia Mungu na Mzee Lowassa kwa laana hii

    Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai wa Rais atakayekuwa madarakani. Sihitaji kujua kama Msajili wa vyama vya siasa alikuwapo ama lah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…