mungu

  1. Replica

    Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu

    “Niwaambie Watanzania wenzangu hakuna Mtanzania awe Ndovu au sisimizi mwenye kusimama juu ya sheria hakuna aliye juu ya sheria, ukimdhalilisha mwenzako ukadhani kwamba utaendelea kupiga miluzi na kufurahia kana kwamba wewe umefika Duniani kama Kiongozi au ndio mkubwa au Mungu Mtu, Mahakama Kuu...
  2. kavulata

    Mungu ibariki Police Tanzania FC imlipie kisasi Gomez

    Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
  3. Da'Vinci

    Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  4. S

    Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

    Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku. Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa...
  5. mama D

    Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi

    Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi "Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume." Kwa ibada, maombi, heshma MUNGU atatuwezesha Mungu awajalie upendo wa moyoni uupendo upitao upendo wowote, upendo utakaowapa...
  6. LIKUD

    Tuache kuuma Uma maneno, Manara kamlilia Mungu wake Na Mungu amemjibu

    Kuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao. Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
  7. Action and Reaction

    Mungu anachukia wanandoa kuachana

    Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana. Sasa ndugu zangu Mungu hapendi hali hiyo pamoja na watumishi wake kuruhusu iwe kwa talaka au pasipo...
  8. APPROXIMATELY

    Muacheni Mungu aitwe Mungu tu

    Muda mwingine unaweza kujikatia tamaa kwa maisha unayoishi,ila ukiangalia kwa wengine ndio unajua Mungu kakufavor sana, tunahangaika kutafuta pesa kukicha ili tuishi maisha manzuri kumbe kuna mtu ana hata huo uwezo wa kutafuta hizo pesa,maisha yake ya shida sana wengine wanaishi kama...
  9. 4

    Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  10. GENTAMYCINE

    Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

    Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
  11. Njaa kali30

    Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Habari wakuu za usiku, Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange. Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
  12. S

    CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, wataondoka wao wataicha CHADEMA inadunda

    Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu kwa miaka zaidi ya kumi sasa. Mungu haturuhusu kiumbe yeyote avuruge hiki chama mpaka pale mpango...
  13. M

    Rais Samia ni mpango wa Mungu kuwavusha Watanzania

    Tazama ni siku nyingi zimepita miongo na karne zimebadilika toka Uhuru Hadi hapa tulipo. Mvua ya Chama kimoja hadi Mvua za Demokrasia tumekutana na masika za Utawala bora neema ya kuijenga nchi. Tangu Awamu ya Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa ni Mhe Samia Suluhu Hassan...
  14. OMOYOGWANE

    Kati ya Mungu na binadamu, je ni nani ampe mwenzake pesa?

    Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa? Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
  15. rosemarie

    Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  16. Superbug

    Ni bora kuishi maskini Karne hii nakuendelea kuliko walioishi enzi hakuna umeme kimsingi Mungu katupendelea sisi

    Huwa najiuliza hivi Mimi na mfalme Suleiman nani anafaidi maisha? Au Mimi na Vasco da Gama Nani anainjoi maisha? Imagine wewe na karli Peter's Nani amebarikiwa? Au Kuna raha gani aliyoipata William Shakespeare kunizidi Mimi? Kiufupi hao niliowataja hapo juu hawakupata neema tunayoipata sisi...
  17. Naja naja

    Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

    Wengine hatuna tu option kulingana na vitisho tulivyopandizwa tangu utotoni ila huyu Mungu hatumpendi haswa
  18. M

    Mungu huwa anajibu (Karma)

    Naamini wote wazima wa Afya. Miezi miwili iliyopita nilipigiwa simu kwamba mdogo wangu analia sana yupo stress hata kula hawezi kisa Mwanamke kamuacha. Nikaona ni heri niende kuonana naye nikamshauri sana dogo nikamuambia maisha safari Mungu anakupenda hivyo usikate tamaa. Akaniambia huku...
  19. Stroke

    Jaribio la kunidhuru limeshindikana ashukuriwe Mungu

    Wakuu, Bado sijarejea rasmi hapa jamvini ila nipende tu kuwataarifu kuwa nipo na naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Siku kadhaa zilizopita ndipo nilipokutana na msukosuko wa aina yake. Ilikua siku ya jumapili nikiwa najiandaa kwenda ibadani, nikaona nipitie kwenye moja ya mgahawa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

    Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
Back
Top Bottom