Haki ya Mungu nimejikuta namkumbuka Magufuli ghafla tu

pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
11,038
5,259
Wakati wa Magufuli 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency TANESCO na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante, haki ya Mungu waliikataa

Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi

Kweli Magufuli alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
 
Watakuja kukupa muongozo kuwa umelipwa na UVCCM ya sukuma gang kuja kumpigia promo aliyekwenda zake.

Kuna mijitu ina roho ngumu yaan magumu yote haya anayosababisha huyu bibi wa kizenji, inajifanya haitaki kukumbuka ule mseleleko wa Magu, hayo yote yanasababishwa na chuki walizopandikizwa na viongoz wao wa hovyo hovyo.

Bitter truth, yajayo yanafurahisha, huyu bibi kaboronga na anazidi kuboronga
 
Kila mmoja ana mazuri na mabaya yake
Ila magu alijenga na kurudisha nidhamu iliyopotea
Lakini mafisadi sasa hivi wanazidi kuharibu
 
Wakati wa magu 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency tanesco na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante,haki ya Mungu waliikataa,
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli magu alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
255769356189_status_b7b9959f93904c02932f075616d8922a.jpg
 
"Mtanikumbuka" hii sauti itajirudia sana tu vichwani mwa watanzania hasa wale walioshika kwenye makali walioshika mpini full shangwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa magu 2016 au 17 kama sijakosea nilipata loose connection kwenye mstimu nje ya nyumba ninayoishi, nikapiga emergency tanesco na ndani ya robo saa wakafika na kurekebisha kisha nikawapa 15,000 kama ahsante,haki ya Mungu waliikataa,
Leo tatizo limetokwa tena nikapiga simu wakasema mafundi wanakuja, nimesubiri weeee masaa yamepita nikaamua kwenda ofisini kwao nikawakuta mafundi wakaniambia nenda tunakuja, nikaondoka masaa yakapita tena hawajaja nikaenda tena nawabembeleza niwape hela wanirudishie huduma pia wanadengua labda kiwango hakitoshi
Kweli magu alikuwa jembe
Na sidhani kama atatokea kama yeye tena
Kwani Magu si ni CCM? Na sasa bado ni CCM wanaongoza? NANI ALIKUAMBIA KUNA MTU ANAISHI MILELE? Ndio shida ya watu kuweka tegemezi kwa binadamu.
 
Wewe utakuwa mmoja wa vijana wanaotumiwa na wanasiasa kama daraja!

Sasa tuko na mama bwasheeee umeme tunasubiri crane la tani 26
 
Back
Top Bottom