Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,418
18,048
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.

Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.

Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.

Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
 
Watu walilia na kuomba sana. Nakumbuka Askofu Mwamakula siku za mwisho mwisho za kampeni akiomba kwenye jukwaa kuwa wezi wa kura wapate adhabu kali. Na kweli kiongozi wao, Lucifer mkuu, alipata adhabu ya kunyongwa. Na akanyongwa hadi kufa 17 Machi 2021.
 
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.

Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.

Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.

Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Wewe bwege na fedhuli hebu weka picha na majina ya ndugu zako waliouliwa.

Wakwepa kodi kukdhibitiwa ilikuwa kosa? Huna akili umebaki kuendekeza chuki tu
 
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.

Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.

Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.

Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Huu upuuzi wako utakusaidia nini wewe pimbi? Ingia mitaani ueleze huu upuuzi wako uone
 
Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa rumande, watu waliuliwa na kutupwa baharini wakiwa kwenye viroba.

Vile vile mbunge Lissu kushambuliwa akiwa kwenye kikao cha bunge. Rais kumiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho ndiyo kulikuwa kinatekeleza uovu huo.

Mambo ya DHULUMA yaliyofanywa na Magu na washirika wake ni mengi sana.

Binafsi kufa kwa Magufuli mwaka Jana mwezi Machi na kujiuuzulu kwa Spika NDUGA Januari 2022 nakuona ni kama UTAKASO wa Bwana Mungu kwa Taifa letu ambalo lilikuwa LIMENAJISIWA na hawa watu
Nothing can fullfill human needs.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Watu walilia na kuomba sana. Nakumbuka Askofu Mwamakula siku za mwisho mwisho za kampeni akiomba kwenye jukwaa wezi wa kura wapate adhabu kali. Na kweli kiongozi wao, Lucifer mkuu, alipata adhabu ya kunyongwa 17 Machi 2021.
Hawa watu wawili Ndugai na Magufuli walikuwa wanaunda pembetatu ya uovu pamoja na Paul Makonda na Sabaya

Mungu anatoa adhabu zake kwa wakati wake.
 
Back
Top Bottom