Kama Mungu kanigusa,nami ngoja nishiriki na ndugu zangu wote wa jamii forum

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,979
6,782
WATU wa Mungu jf niwasalimie kila mtu kwa imani yake

Bila jali mitazamo yetu tofauti ila ni imani Yangu sie ni Ndugu tu,

Usiku wa kuamkia leo nimeguswa na yule ajuaye nini makusudi yake kunifanya niwe hai leo, na nini kusudio lake kunileta duniani ,nami ni vyema share nanyi baraka hizi

Ni mwaka 2021 na waelekea mwisho, WEWE Kama mtu muhimu katika jamii yetu,wakati tunasubili mwaka fika mwisho basi ulinzi wa Bwana ukawe juu YAKO KWa kiwango cha juu Sana

2022 ukawe mwaka wa triple kwako ,kwamba katika hitaji lako lolote likatimie KWa Mara tatu ya mwaka 2021,

Ujumbe huu ukawafikie ndugu na jamaa wote jf ambao mmeyatenda mema 2021, na imekua

Neema ya Bwana ikawe juu yenu,imekua,imekua,imekua
 
Amen
P
 
shenzy,
nikajua ni mwaliko wa xmass
 
Back
Top Bottom