Asante Mungu nimepata mwanamke mwenye hisia kali za imani ya kweli katika mapenzi

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello Umofia kwenu!

Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi.

Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs hakika hii pisi sijui imeona malaika gani ndani yangu.

Mrembo kaja kanibusu kanikumbatia hapa Nyerere square mida ya saa 5 asubuhi ilikuwa ni kama movie.

Mwanamke mrembo sana, sijaelewa maajabu ya Mungu huyu wa Isaya, Yakobo na Ibrahim,

Binti mrembo anaitwa Yohania, amenipa zawadi ya biblia, smart watch, key holder moja kali.

Kwenye kuagana amenikiss kiganjani, kanipa business card yake, anafanya kazi kitengo cha mambo ya fedha, ana CPA.

Nimestaajabishwa sijielewi nafikiria sijui nifanyeje, ananihitaji haraka kwa maongezi maeneo Fulani ya DSM Friday next week,

Nimebaki maswali je ni mwanamke wa kweli au jini au katumwa, ila sasa mwili wangu haujasisimka maana mimi anything bad huwa napata senses aidha miguu au mikono inapata ganzi au nyewe zinasisimka.

Maombi yenu tafadhari my love of her first sight amepatikana, mtanisamehe kwa maamuzi hasa mabaharia na chama letu na agank letu.

Nikisaliti chama la mabaharia wenye kiapo cha kutokuoa ntalipa fine kianzio fine ntatoa laki5.

Maombi yenu, duwaa jamani binti mrembo wa kisandawe kanipenda sana.

Wadiz
Wabillahi Tawfiq
 
Tayari....at least campaigns za kataa ndoa zitapungua...maana wewe ndo kinara wao
Hakika huyu mrembo sio kwa mimi ni neema za Mungu, naamini kuna sehemu huwa ananiona kwa sababu ametoa reference kibao anajua nasali wapi anajua interests zangu, ila hajui kuwa mimi ni baharia kipenzi Cha Mungu ambae amaasi kidogo tu kwenye gambe na mademu hasa pisi mpakato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom