Mungu Yuko wapi?

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Apr 23, 2023
5,240
4,376
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.

Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia, baadae vijana wakajitoa akili kwenda wakaona wazee ni waongo na hamna kitu mule. Wagiriki wakaja na miungu yao wakasema ipo ya milima ya Olympus, Leo hii watu wamepanda milima yote ugiriki hawajaona miungu hio.

Wakaja wayahudi, wakasema Mungu yupo mawinguni. Ukifuatilia hata Yesu alipaa mawinguni, Mungu alifungua madirisha ya mbinguni kuleta mafuriko, alichungulia kutoka mawinguni kwenye mnara wa babel, etc. Waislamu nao wakaja na mbingu Saba sijui. Anyways wazungu wametengeneza ndege na rocket zimeenda mawinguni, nje ya dunia, mpaka mwezini. Sasa hivi watu wa dini wanasema yupo nje ya ulimwengu.

So nikagundua trend, wanamficha, wanamweka mbali ili watu wasiweze kumfikia, why? Kwa sababu hayupo? Kwa sababu hajasema hizo sheria? Why wanamficha. Afu wanakuambia anataka uamini yupo ndo utapona usipoamini unaunguzwa. Ukiuliza nikimwona afu nikamwamini, anasema no, lazma usimwone ndo uamini. Na wanaweka kifo mwisho wa kumuani ili waweze kuendelea kutunga sheria kwa jina lake na kuweza kuendelea kutawala watu kwa sababu hamna mtu Ashawahi kurudi akasema baada ya kifo kipo hivi.

Mwanasayansi mi nauliza Mbinguni Kuna Nini. Hamna njaa hamna maumivu hamna ndoa hamna chochote zaidi ya kumuabudu Mungu. Watu kanisani na msikitini hawapendi kwenda unategemea watapenda milele ya Ibada. So wakaamua kuanzisha motoni kutishia watu kwamba wataunguzwa milele. Sasa, ukifa unaacha mwili wako hapa, wanasema una roho, roho ni Nini, hoo mawazo sijui pumzi, ukiuliza unajua kazi ya ubongo ni Nini mtu hajui, haya tufanye roho ni ka upepo kanaenda motoni ehe kanaunguaje, hakana nyama, hakana nervous system hakana ngozi, hakana pain receptors, hakana ubongo au spinal cord, maumivu unayasikiaje, na bado hatujauliza huu Moto upo wapi, walisemaga chini kisa mavolcano lakini now hawasemi Tena coz of elimu.

Tukienda kwenye sheria zenyewe sijui usivae nguo tofauti, usile shellfish, usichanganye mazao, usimwage nje, usiabudu sanamu lakini abudu kitu Cha kufikiriwa na myahudi, hivi kwa Nini mtu atengeneze nyota billion 60 na sayari trillion afu aje kujali binadamu wewe ambae ni Kama vumbi kwa huu ulimwengu unamwaga wapi. Na kwa Nini sheria hizi zinaonekana Kama sheria za kabila ya la zamani huko kwenye majangwa na haziendani na sheria za binadamu kuishi na watu vizuri. Na Wanavyosema tumuabudu siku ya Saba.

Siku zimekuja kutengenezewa baadae Sana na zimebadilika badilika Mara kwa Mara katika historia ya Mayans na Romans. Na wamechagua sun day coz ni siku ya pagans kuabudu jua. Ila yote haya tuyaache, why Mungu muweza yote anataka hela, mwisho wa siku wote mnabidi mgundue kuwa binadamu walitengeneza miungu ili kujibu maswali magumu yasiyojibika kipindi kile na ku
 
Usitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka maandishi haya
 
Nitakufundisha siri za ufalme wa Mungu ambazo hujawahi kuzisikia popote. Nawe utamjua Mungu na utamheshimu, na utamuabudu na kumtumikia
 
Hahaha ndo mnavyotishiwa hivi na mnaogopa. Ni sawa na mtoto kumtishia mtu mzima usipomwamini Babu Christmas hautapata zawadi. Mimi sio mtoto siamini story za shetani na Mungu za kutengenezewa na wanakijiji wa kale wasiojua haya jua linaenda wapi usiku
 
Nitakufundisha siri za ufalme wa Mungu ambazo hujawahi kuzisikia popote. Nawe utamjua Mungu na utamheshimu, na utamuabudu na kumtumikia
Kwanini Mungu atengeneze ulimwengu mzima wenye nyota billion ili wewe Kima(primate), umuabudu, we ni Kama vumbi kwake, ye anafaidika Nini. Au ndo tunawaabudu na kuwatumika wachungaji na mnaambiwa ni Mungu. Mungu Kama ni WA yote na WA kila mahali hachagui mtu so mpaka mtu anasema katokewa na Mungu huyo ana lake anataka. Tofauti ya Musa na zumaridi ni mda tu.
 
Hamna haja yakujua aliko mungu au alitokea wapi ,ww jua yupo tu na umwabudu ,hayo mengine angetaka tujue angeacha clues
Unamuabudu kakuambia umuabudu au mwarabu/myahudi/mrumi kakuambia umuabudu ili achukue hela zako na aendeshe maisha yako na anatumia story za Mungu Kama kivuli na kukuambia usiulize maswali utaunguzwa na we unakubali ka mtoto muoga
 
Kuna mtu alisema ubongo ni receiver tu, kuna master brain ipo ambayo inatunza kumbukumbu zako na ikifika siku ya mwisho ndo tutajua hatujui pale utakaposhangaa una mwili mpya na ubongo mpya usioungua ukaisha ila maumivu hayazoeleki.

INASIKITISHA MNO.
 
Of course Biblia itasema Kuna watu hawataamini story zake, coz walioandika walijua story zao haziaminiki. Ni sawa nitengeneze thread afu niseme watu wataniponda, afu watu waniponde kweli nijiite mtabiri na mkweli. Nipe hoja sio hekaya
Nani aliyeandika ?
 
Kuna mtu alisema ubongo ni receiver tu, kuna master brain ipo ambayo inatunza kumbukumbu zako na ikifika siku ya mwisho ndo tutajua hatujui pale utakaposhangaa una mwili mpya na ubongo mpya usioungua ukaisha ila maumivu hayazoeleki.

INASIKITISHA MNO.
Mungu mwenye upendo WOTE anayependa watu wake hawezi unguza wanae milele.

Akiwaunguza ujue nae anamatatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom