mungu

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pitia CV's za 'Kienyeji' za hawa watu wawili kisha niambie kati yao Mcha Mungu wa kweli ni yupi?

    #1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua. #2. GENTAMIYCINE Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
  2. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Shetani kama Mungu?

    Na DaVinci XV Isaya : 14 : 12 -15 12- Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! 13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi...
  3. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali. Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

    Kama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kila nikikutana na picha ya huyu mzee lazima nipige goti chini na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake

    Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa. Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli. Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
  6. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  7. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

    Salamu ni utumwa Nitoe pongezi kwa Viongozi wa Vodacom kwa hisani hii ninayoipata kila wiki bure kabisa ikiwa inaelekea mwaka sasa. Mungu awabariki sana😉😉
  8. T

    JamiiForums Tanzania What has the devil done to us until we don't appreciate value of our things?

    Unlimited contract? Again all the ports of Tanganyika? This means that the next generation, if they are not given an explanation why DP is running all the ports in the country, they will know that this country is ours and theirs!! Even if Tanzanians have given us green water to drink, we will...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi bila kuwapo shetani Dini na Mungu zingekuwapo?

    Dini zote nyemelezi zinatuaminisha kuwa Mungu aliumba kila kitu zikiwemo dhambi, shetani, kifo na mabaya yote. Je kwanini Mungu aliumba shetani kama lao siyo moja? Je bila shetani, dini na Mungu vingekuwa na mashiko au pa kujificha? Je shetani ni nani? Je ni mbaya kama tunavyoaminishwa? Yeye...
  10. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  11. TPP

    JamiiForums Tanzania Swali jepesi: Kwanini Afrika wanawake wasio na imani ya Mungu+ dini ni ngumu kuwapata ?

    Leo tuizungumzie Afrika na Waafrika hasa jinsia ya kike kwa swali moja litakalo jenga uelewa baina yetu sote. Kwanini ni jambo gumu kupatana na mwanamke Afrika asie muamini wa mambo ya Mungu, Kimungu na Dini ?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na Nguvu ya Mwenyezi Mungu 2015-2020, 2020-2025

    Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua za mwisho kuchaguliwa kuwa wagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM, 2015. Yeyote kati ya hawa angeweza kuwa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

    Mungu nisaidie hiki. Mungu utukuzwe. Mungu naomba abcd. Mungu nisamehe dhambi. Mungu asante. Mungu, Mungu, Mungu. Mungu huyo hana jina ? Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mungu vimulike Vyombo vya Usalama wa Taifa Teule la Tanzania

    Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane upo. Mungu wataifa la Tanzania Mungu naijulikane upo, njaa ya watu wachache isiliuze Taifa la...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mungu alivyonishauri kupata jiko

    Nakumbuka nilikuwa nikilala mara nyingi peke yangu kila ilipokuwa ikifika saa Tisa usiku lazima niamke ghafla huku konga likiwa limesimama zima zima ndipo nikagundua ni Mungu ananishauri nioe haraka iwezekanavyo na sikufanya kosa nikamvuta Khadija haraka sana mpaka sasa kanizalia wana wanne...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa Dini iwapendeze kuteua siku maalum kwa ajili ya kumlilia Mungu aliponye taifa kwa yanayoendelea

    Kwa hali ilivyo nchini mwetu namna viongozi wetu wanavyoiendesha nchi, Kwa mikataba ya vificho yenye kuliingiza taifa kwenye hasara mfano ikiwa kuibinafsisha bandari yetu ambayo ni nguzo kuu ya uchumu wetu,na mikataba mingine mingi yenye agenda za Siri tusiyoijua. Iwapendeze viongozi wetu wa...
  17. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  18. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Nimerudisha imani kwa CHADEMA, nimerudisha imani kwa Mbowe, watanzania tuamke hii sasa inatosha

    Nimemsikiliza Mh mbowe kwa umakini sana, awali ya yote nisamehewe kwani kuna wakati nilihoji na kuponda maamuzi ya mbowe nikidhani ni 'mlamba asali' Yameongelewa mengi kuhusiana na mkataba wa Bandari na kampuni ya DP world, lakini maswali matatu ambayo mpaka sasa yamekosa majibu yamenifikirisha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumtafute Mungu sana pia tutafute pesa kwa bidii

    MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII: ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi kwenda kwa mkristo ukamkuta anafanya kazi ngumu kama vile kulima, kukata majani ya ng'ombe pia hata...
  20. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania CRDB Mungu awalaani!

    Great thinkers. Inasikitisha sana, yaani hela yangu, nataka kutoa halafu eti mfumo haufanyi kazi. Hivi MD wa CRDB anafanya nini????? Naichukia sana CRDB Bank
Back
Top Bottom