mungu

  1. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mungu hawajaumia na kupoteza Maisha watu wengi Uwanja wa Taifa leo kwenye mechi ya Yanga. TFF wawajibike kwa uzembe mkubwa

    Mpaka sasa Waziri mwenye dhamana na Afya za Watanzania amethibitisha kifo cha mtu mmoja na baadhi ya watu kujeruhiwa. Tunamshukuru Mungu japo kwa uchache huo. Vyovyote itakvyoelezwa Wahusika wawajibike, kwa namna hamasa ilivyokuwa na watu kuingia bure, ilitakiwa mageti ya kuingilia uwanjani...
  2. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu na uongozi wa Tanzania-simameni katika kweli, haki na toba-msiogope

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa uweza mkuu, Mwenyezi Mungu ni mkuu mno. Aliwatambua na kuwateua hata kabla hamjazaliwa. Naamini hakuna kiongozi yeyote anapata uongozi kwa mapenzi yake mwenyewe bali makusudi ya Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Uongozi ni fulushi zito mnoo ambalo kama si kwa...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mungu ameonyesha nafasi ya urahisi ya mwaka 2015 ilikuwa ya Lowassa

    Hapo vip! Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli, Membe na Sitta. Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa, hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini. Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Wanawake wa Kilokole tunapowatongozeni na mnasema tusubiri Muongee na Mungu sisi huwa ni Majini au?

    Mnakera sana na ndiyo Wengine hivi sasa tumeamua Kubobea kununua ( Migoma ) tu kwani huwa hawana Usumbufu wala Mbambamba kama mlivyo Wanafiki na Wapuuzi nyie. Na kwa huu Upuuzi wenu mtaendelea Kuhangaika kupata Waume wa Kuwaoa kwa Kuzunguka kama Inzi wa Chooni katika Makanisa yote ya Kilokole...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

    Katika nchi yoyote, Ikulu is one of the most, if not the most secure premise. Maana hapo ndio ofisi za madaraka ya juu kabisa. Pamoja na kupongeza ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino, nimeshangazwa sana na mapendekezo mapya ya majengo ya huduma. Pengine kama sijaelewa maana yake. -Kutakuwepo na jengo...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Yafahamu majina ya Mungu na maana zake

    YAFAHAMU MAJINA YA MUNGU NA MAANA ZAKE #Adonai ni neno la kiebrania,, kwenye Biblia tunayoyotumia huwez pata ila kwenye biblia ya Kiebrania Ni maneno (majina ya kumuinua au kumsifu Mungu) yako Machache kwenye Biblia Mfano wa majina hayo 👇 Tambua Majina ya Mungu na Maana zake Majina haya yapo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

    Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa. Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara". Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye...
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Simulizi niliyopewa na baba yangu kumuhusu Mungu

    Not entertainment
  10. Surya

    JamiiForums Tanzania Akiisha kutumikia Shauri la Mungu alilala

    Ni Mungu Zaburi 76:12 Yeye huzikata roho za wakuu; Na kuwatisha wafalme wa dunia. Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa wakati wake iwe kwa kujua au kutokujua. Ewe Mtanzania na Mgeukie Mungu leo nae atayanyoosha mapito yako 🙏
  11. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

    Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na maana. Hoja yao ipo hivi: 1. kila kitu kilichopo kina chanzo hakiwezi kutokea from nothing, 2. Hivyo...
  12. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wazuri katika Mungu hawafi na wakifa husiifiwa sana kwa kuwa wanaenda Mbinguni kwa Mungu

    Hello Mungu ni mwamba wa yote! Ama kwa hakika wazuri miongoni mwa wakorinto hawafi, na wakifa husifiwa mithili ya malaika wateule waishio thethalonike. Spinning for the dead angels does not live long and doesn't work with the common majority. Now that, the minority have assumed bust up and...
  15. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Maswali yenye utata kumhusu Mungu

    1. Kwa mujibu wa maandiko, Mungu alimpa amri Adam na Hawa wasile matunda ya mti wa katikati. Hakuwaambia kuwa ni wa ujuzi wa mema na mabaya na wala hakuwaambia ungewafungua macho. Shetani yeye akawaambia watu hizo dondoo kuuhusu huo mti na matunda yake. Je, Shetani alisema ukweli? 2. Mungu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mungu Yuko wapi?

    Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi. Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa kuwaambia kuwa Mungu anataka mfanye hivi, na hio miungu ilikuwepo pangoni ambapo wazee tu wanaingia...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acha nijaribu bahati yangu huenda Mungu atanisaidia. Natafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha

    Habari wana JF! Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa. Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo. UMRI: Miaka 18-26 ELIMU: Kuanzia kidato cha nne DINI: Mkristo. Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Man of God

    Wakuu kwema? Wazee wa zamani walisema "Don't judge a book by it's cover".
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

    Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa. Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅. Mungu fundi nyie!
Back
Top Bottom