mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mafanikio yanategemea wakati wa Mungu ukifika

    Wiki iliyopita nilimtembelea ndugu yangu mmoja ana kijana wake age 20s ni muda mrefu sijawahi kumuona akifanya shughuli yoyote wala kusikia akifanya kazi yoyote Mama yake ndio namuona akipambana na vibarua vya kufanya usafi huko ili mkono uende kinywani yule kijana anategemea kidogo anachochuma...
  3. JamiiForums Tanzania Jambo la kwanza unalopaswa kujua unapomkubali Mungu: Mungu ni tajiri na shetani ni masikini

    Mungu alipumba binadamu wa kwanza alikuwa tajiri sana. Walipewa dunia nzima kama shamba. Na alimuwekea hazina ya dhahabu safi bustanini eden ya thamani ya matrillion mara trillion. Adam na eva walikuwa matrillionea. Umasikini uliingia kwa sababu ya dhambi. Hapakuwa na binadamu masikini kabla...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

    Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono. Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake. Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

    Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi. Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii. Yes...
  6. JamiiForums Tanzania Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia? 1. The holy scriptures say YES. MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu" ( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, huu ni Udhaifu nilionao au ni Baraka ya Kipekee kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

    Yaani naweza kupewa na mtu (tena wengine sijuani nao kivile) pesa zao kuanzia Tsh. 500,00 hadi Mamilioni niwatunzie na wakizihitaji/wakija kuzichukua nawapa zikiwa vile vile na hata sijanyofoa chochote. Na kinachonishangaza zaidi mimi huyu huyu GENTAMYCINE ambaye naaniniwa kupewa pesa za watu...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu anatuchukia Watanzania? Kama kuna kitu tulimkosea atusamehe

    Kuna mambo huwa yanatokea humu nchini kwetu mpaka nasema kuna siku hii nchi Mungu ataifanya kama Sodoma na Gomora. Tulimkosea nini Mungu? Atudamehe, inatosha sana. Au ni Nyerere kugombana na Waisrael au ni nini? Au ni ule mwenge wa uhuru. Zile takwimu za nchi ambazo hazina furaha Tanzania kila...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

    Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu wa Askofu Gwajima ameshindwa baada ya Paul Makonda kuteuliwa?

    Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye. Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele ya waumini pepo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tulipende Taifa letu na Rais wetu ili Taifa lipate Baraka za Mungu

    Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu. Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
  12. JamiiForums Tanzania Wachawi kutumia wanyama wanafanya kile wafuasi wa Mungu walichoshindwa kufanya

    Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde. Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa. Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania MUNGU saidia taifa hapo kesho lisihaibike..

    Habari.. Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa. Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho. 1.simba kufungwa goli zaidi 3. 2..umeme kukatika ghafla Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa...
  14. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vikitangaza majanga watu wa Mungu hawapaswi kukaa kimya?

    Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa. Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa. Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila...
  15. JamiiForums Tanzania Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana. Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina? Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mtafuteni Mungu siyo miujiza!

    MTAFUTENI MUNGU SIO MIUJIZA; Maombi ya Asubuhi 🔥 Zaburi 98 1 Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu. 2 Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake. Sisi wana wa Dunia...
  17. JamiiForums Tanzania Tuwe wazi, kupata mtoto mwenye ulemavu au magonjwa ya kuwa tegemezi maisha yake yote ni zawadi kutoka kwa Mungu?

    Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae: Haoni na hasikii Hajitambui Utindio wa ubongo Ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu?
  18. JamiiForums Tanzania Asante Mungu nimelishinda tena hili jaribu

    Iko hivi, kuna siku kuna mteja kijana alikuja hapa ofisini kwangu nimtengenezee simu kama miezi mitano imepita hivi, ilikuwa ni smart ya kubadili kioo. Sasa nikamtengenea akarudi kuchukua kesho yake. Akaondoka baada ya wiki moja akarudi na ile simu ikiwa imepoa battery hivo nikampa simu moja ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…