1. Neno la Mungu ni Upanga wa Roho; Linatumika kupigana vita vya kiroho dhidi ya shetani na majeshi yake. (Waefeso 6:17)
2. Neno la Mungu ni Taa ya miguu yetu; Linaongoza njia ya maisha ili tusipotee. (Zaburi 119:105)
3. Neno la Mungu ni Moto wa kiroho; Linachoma kila uchafu, udanganyifu, na...
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo...
Heri ya pasaka.
Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka.
Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote za msingi zinazopelekea ndoa hizo kuvunjika...utakuta sababu ni zilezile za siku zote kama vile...
Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima.
WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali
Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE
Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
Sabato Njema!
Kesho nitakuwa Kanisa la Kimara Korogwe.
Ukisoma Kitabu cha 1 Samweli 8 utakutana na Kisa cha kisiasa ambacho Waisrael wanakataa Kuongozwa na Mungu kama Mfalme wao.
Kumbuka hapo Awali Waisrael hawakuwa na ufalme wa kibinadamu kama mataifa mengine. Wao waliongozwa na Ufalme wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu.
Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika.
Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi
Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa!
Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale yaliyotekelezwa
Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa...
Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu.
Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja.
Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
Leo ningependa sana kujifunza kutoka kwenu, atakayeweza naomba mnijibu swali langu kulingana na maandiko. Siku hizi nasoma sana Biblia.
Sasa swali langu ni hapa:
Ukisoma Mwanzo 1:26 ni kwamba Mungu anasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege...
Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini.
Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe...
Leo sina salam , ila natambua uwepo wenu wanaJF .
Kwenye mada na husika na mada tajwa hapo juu .
Mh Lissu anatakiwa kutoka alipo mara moja na sio ombi la kibinadam bali ni amri kuu toka kwake alieumba mbingu na dunia period ,asema Bwana.
Haiwezekani ulale kitanda kizuri ila mwana wa Mungu...
Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka.
Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie!
Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.