Nimeoneshwa na Mungu kuwa simba itaifunga stellenbosch magoli mawili yote ya kichwa siku ya tarehe 20 april 25

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
769
Reaction score
1,809
Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika.

Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi

Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa!

Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira ya kona!

Goli la kwanza litafungwa kimzaha mzaha mpira wa kona na kuwaduwaza wapinzani lakini litakuwa ni goli.

Goli la pili pia litakuwa la kichwa!

Hadi mwisho wa mchezo simba itaongoza kwa magoli mawili yote ya kichwa!
 
Kikubwa hili kombe msimu huu linaletwa Bongo
SIMBA ni better team
 
Vimidomo FC, tutaficha wapi sura zetu sisi Utopolo mkifika hata fainali za kombe la akina Mama "CAFCCL"?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika.

Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi

Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa!

Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira ya kona!

Goli la kwanza litafungwa kimzaha mzaha mpira wa kona na kuwaduwaza wapinzani lakini litakuwa ni goli.

Goli la pili pia litakuwa la kichwa!

Hadi mwisho wa mchezo simba itaongoza kwa magoli mawili yote ya kichwa!
Sijui kwa nini huwa nawaona mashabiki wa Makolo ni kama wa arse8. Miaka minne hujachukua Premier League unadhubutu kuanzisha uzi....pambaf. Simba ni Arse8 iliyochangamka.
1000584067.jpg
 
daah nchi yangu vijana sijui wamerogwa na nani? wao mambo ya simba, yanga, kubet wakitoka apo stori ni gambe na mademu🤔
 
Back
Top Bottom