mungu

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Abiud Misholi: Enyi watawala unaiba matrilioni ya fedha na masikini wanaangamia hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako Mungu anataka haki

    "Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
  2. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchungaji SDA: Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana, akoleza moto asema anayeua na kubambikiza kesi ni sinagogi la Shetani

    "Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana" "Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mungu amekataza wanaume kuvaa kofia wanaposali. Kwanini wanaume hawa wanakaidi agizo la Mungu?

    Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa. Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika: “Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini hekalu la Mungu lilijengwa na Mfalme Suleiman na tunajifunza nini kwa mtu wa hovyo kama huyu?

    Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au hapakuwa na watu safi wa kufanya kazi hii. Kwa uzinzi wake, tunajifunza nini? Je ilikuwaje Mungu...
  8. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Mungu kutupa ubongo/akili huenda alimaliza kila kitu

    Habari gani wakuu? Kama kinavyo jieleza kichwa Cha uzi hapo juu kwamba... Kama ilivyo kwa gali mpya uinunuapo Basi lazima utapewa tool box ambayo itakuwa na vifaa vyote mhimu kwa ajili ya kuitengenezea gali yako itakapo pata tatizo la kiufundi Basi hivyo ndivyo ilivyo kwa ubongo juu ya...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Lengo la Mungu kuwatoa Wana wa Israel Utumwani na kuwaua jangwani Kwa maelfu lilikuwa ni lipi?

    Mods Uzi huu usiunganishwe popote unajitegemea. Kitabu Cha mwanzo sura ya 40 ndo mwanzo halisi wa Wana wa Israel kuingia misri na kuwa watumwa rasmi Kitabu Cha kutoka sura ya 3 Mungu anajitokeza na kumuamru Musa aende akawakomboe Wana wa Israel kuwatoa Utumwani. Maandiko yanasema.... Kutoka...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Vijana takriban 40 wauawa baada ya 'kumzodoa' Mtumishi wa Mungu!

    Habari hii ni ya kweli kabisa. Sio chai wala udaku. Taharuki imetanda katika mji mmoja baada ya tukio la kutisha lililowahusisha vijana zaidi ya 40 walioshambuliwa na wanyama wakali wa porini. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio, kundi la vijana zaidi ya 40 lilijikuta...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

    Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. .. Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

    Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like! Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement! Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa! Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu! LEO WAMEITWA WATUMISHI...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni siasa ya kimwili na kiroho; Ukristo ni umoja; Kama Kristo na Mungu walivyo wamoja. Umoja katika Haki ya Mungu

    Hamjambo! Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu. Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji. Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi, Mwanamke na...
  14. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu. Swali linakuja: Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya mambo haya, hata ukifunga na kuomba siku 40, unapoteza muda wako tu, Mungu hawezi kukupa unayotaka

    Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka. Kama unafanya mambo...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mambo haya mmeyasababisha wenyewe, acheni kumnung'unikia Mungu

    Manung'uniko yamezidi. Lawama zimejaa. Kelele zimeongezeka. Eti kwanini Mungu anatuacha tunateseka? Eti kwanini anatuacha tunaumia, tunaugua, tunakufa..? Ulisoma kitabu gani wewe kwamba Mungu aliumba bunduki, mabomu na virungu? Wanadamu wenyewe ndio wanaotengeneza silaha hizo kisha wanazitumia...
  18. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

    Wakuu habari za kuamka.... Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu ambaye alifariki 2012 hadi nilishamsahau,. Nilikua mtoto lakini huyu mtu kila siku nilikua namuombea...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Umaarufu usikufanye ukebehi mtu mteule wa Mungu!

    Kutoka enzi na enzi Mamlaka zipo na zina nguvu isiyo kifani. Huwezi na kamwe haitatokea wala kukubalika eti upambane na mamlaka halafu uwe mshindi. Hilo haliwezekani kamwe. Bwana wetu Yesu Kristo alikua maarufu sana kwa nia njema mno na baadae pamoja na kusema kuwa hakuja kutengua torati au...
Back
Top Bottom