mungu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo anapaswa kuniomba msamaha haraka sana.

    Milango bado ipo wazi kwake.
  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia acheni hizo tabia za kumsifu binadamu kama Mungu sasa mmejionea wenyewe !

    Kiko wapi. Hakuna kwenda nje Hakuna favor Utalii umeshuka Sana Mialiko imekuwa adimu sana Na mwisho unaelekea kukabidhi kijiti Kama utani .
  3. R

    JamiiForums Tanzania Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Insha ya kwanza: Ya Mungu mengi, ya kuku mayai

    Ya Mungu Mengi, ya Kuku Mayai Utangulizi Methali ya Kiswahili isemayo "Ya Mungu mengi, ya kuku mayai" ni methali yenye maana pana na yenye mafundisho tele. Methali hii hutufundisha kwamba Mungu ndiye chanzo cha baraka nyingi na kubwa, wakati viumbe kama kuku wana uwezo mdogo wa kutoa vitu vya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya. 2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini). Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuna watu wengi watamtukana Mungu hata wakati wa ujio wake siku za mwisho

    Ndiyo, Biblia inafundisha kwamba hata wakati wa hukumu au matukio ya mwisho, kutakuwa na watu ambao watakataa kutubu na badala yake watamtukana Mungu. Hii inatajwa waziwazi katika kitabu cha Ufunuo. Kwa mfano: Hii inatufundisha kwamba mioyo ya baadhi ya watu itakuwa migumu hata katikati ya...
  9. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

    Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo Wa Mungu YOHANA 1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nadhani hata Mungu huwa anamshangaa Gwajima!

    "Muogope Mungu na Teknolojia" RUGE
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Mungu ni Mungu wa Israeli, Kwanini Anaiacha Israeli Inapata Vipondo?

    Swali hilo limekuwa likiulizwa na watu wengi, hasa katika nyakati hizi tunapoona Taifa la Israeli likipitia mateso, vita, au mashambulizi makali. Huenda hata wewe unajiuliza: “Je, ni kweli Mungu bado ni Mungu wa Israeli? Kama ni hivyo, mbona hawalindi?” Kwa jicho la kibinadamu, hali hii inaweza...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

    Hallelujah, Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility. As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mungu wa kikristo na Mungu wa Waislamu ni huyu moja anitwa "Allah" hata kwenye biblia ya kiarabu yumo

    Mungu wako na Mungu wetu ni Mungu mmoja kwa kuwa kuna Mungu mmoja tu kama ilivyoandikwa katika. "Shema" (Kumbukumbu la Torati 6:4) na Marko 12:28, na kama inavyoainishwa katika kanuni ya kwanza kati ya Kanuni 13 za Imani ya Kiyahudi. Ikiwa unasisitiza kuwa "Allah" katika tafsiri ya Kiarabu ya...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Najisikia kuhamia upande wa MUNGU

    1.Ni muda mrefu sasa sijapost thread yoyote nimekuwa na maisha mazuri Sana japo yenye changamoto nyingi.mambo ni mengi but najiskia pia faraja hatimaye nimekuwa Baba,Baba grace amezaliwa ana kama week mbili ni faraja kwa familia yangu hasa ukizingatia hofu Ile ya matumizi ya pombe Kali kwa muda...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamuamini katika uwepo wa Mungu au miujiza, hii nini kwa kweli

    Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa...
  16. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kifanyike ili amani ya DRC Congo??

    Katika kipindi cha zaid ya miongo 3 tumeshuhudia Amani ya DRC haijawahi kuwa na Amani iliyotulia,lakini kama mnakumbuka DRC ni miongoni mwanchi zilizojiunga na EAC na baadae akapata uanachama baada ya kukidhi vigezo,sasa kama mwanachama mwenza ni lazima tujadili amani ya DRC kwa sababu ni sehemu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Israel ni mkuu

    Iran kwa miongo minne amekuwa akitengeneza na kutekeleza mikakati ya kuiangamiza Israel. Katika foreign policy yake kuifuta Israel ni moja ya sera zake za nje. Iran ameunda vikundi vya kigaidi kuizunguka, Israel katika nchi za Lebanon, Syria, Iraq, Yenen na Gaza; vikundi hivyo amevipatia...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Lissu akitaka maombi yake yafike, asimuombe Mungu bali Samia

    Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaoamini hakuna Mungu kwanini mnasikitika watu wakiuana?

    Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu. Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?
  20. Surya

    JamiiForums Tanzania Muamuzi wa maisha ya Binadamu ni Mungu, Maisha ni ubatili

    Yaliyomkuta Mfalme Daudi. Mipango ya Mungu na Udhaifu wa Binadamu: Hadithi ya Daudi na Absalomu Katika safari yetu ya maisha, mara nyingi tunajiuliza ni kiasi gani cha hatima yetu kimepangwa na ni kiasi gani tunatengeneza sisi wenyewe. Imani ya kwamba Mungu hupanga kila kitu ni jambo lenye...
Back
Top Bottom