mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Usitishwe na nyoka, Mungu alituma nyoka wa moto kuwauma waisraeli walipoasi, Nyoka wa shaba akainuliwa kuwaponya

    Salaam, Shalom! Wengi humu mmetishwa muonapo nyoka, au kuota ndoto za kuona nyoka, Ni kweli, Biblia imemuhusisha Ibilisi na nyoka, Joka la kale, la zamani, akiitwa Joka, pengine Joka linatoa maji mengi kutaka kummeza mtoto aliyezaliwa( kanisa). Sasa usilolijua ni kuwa, mbinguni wapo nyoka...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mungu akiwapa Nguvu na Ufufuo basi fikirieni hii Kauli Mbiu iwe ni Nuru ya Uzima kisiasa "Hasta La Victoria Siimpre"

    Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani. Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake Mungu pamoja na kwamba mimi si mwana CHADEMA, bado nina haki ya kuwa na utashi na akili ya kuelewa...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu Nisaidie Niweze Kunyamaza, Nijiepushe na Dharau na Kebehi dhidi ya Dini nyingine, Niepuke Kujimwambafai Mbele ya Dini na Madhabahu ya Wengine

    Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja, heshimu dini yako kama ambavyo unataka dini yako iheshimike, na kama nia baadhi yao ni kutangaza...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi Yuda aliwezaje kumsaliti Mungu wake?

    Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
  6. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

    Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Amri ya Mungu ilivyopotoshwa na wengi

  9. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Innocent waache watu wamwabudu Mungu wao

    Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muhammad alikuwa akipokea Aya kwa kila tukio linalompata. Mungu amrehemu. Tukio la Maria al-Qibtiyya

    Hadithi inayozungumzia tukio la Mtume Muhammad (SAW) kukutwa na kijakazi wa mke wake, inahusiana na kijakazi aitwaye Maria al-Qibtiyya (au Maria the Copt). Tukio hili linatajwa sana katika vitabu vya historia na siha (Sira) pamoja na baadhi ya tafsiri za Qur'an, hasa kwenye tafsiri ya Sura...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  12. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Wanaoomuamini Mungu, wana nini cha kujivunia?

    Hivi, kwa nini watu wanaomuamini Mungu wakisoma posts za wasioamini katika uwepo wake, wanaumia na kuona kama kuna viumbe hawana akili. Wakati huo huo, wasiomuamini huyo Mungu, wanawaona wenzao kama kawaida, wenye haki ya kuamini wanachokitaka, bila kejeri na matusi kama ya wana wa Mungu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Ogopa Sana Mungu na technology

    Huyu Shekh kumbe ni kada mtiifu wa kijani kinondoni
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Usipokuwa na hofu ya Mungu wewe si mwanadamu ni mnywa damu

    "Ni imani yangu hema hili litatumika kujenga jamii yenye maadili na jamii yenye hofu ya Mungu. Ni kupitia tu hofu ya Mungu na ndiomaana Mungu akatushushia dini na miongozo ndiyo mwanadamu anasimama kuitwa mwanadamu, na nilisia hapa mtu mmoja anasema kuna wanadamu na wanywa damu, sasa usipokuwa...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu: Amesema Yeye Pekee Ndiye Njia ya Kutupeleka Mbinguni. Wanaopita Njia Nyingine Wanaenda Upotevuni

    Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23). Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
  17. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na kutenda mapema kwa njia ya sadaka kuliko maombi makavu

    KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu hakuwaacha. Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    “My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview. Chanzo: The Nairobi Times Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe kaenda kumkumbushia Hela ya Matumizi ya Siku.
  20. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mungu anawaona mjue

    Watanzania Salam tuachane nazo tu. Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie. Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes, Kwanza alikataa akasema ana haraka anawahi kwenda kupika ametoka sokoni kununua mboga,Lakini baada ya...
Back
Top Bottom