mungu

  1. JamiiForums Tanzania Si ajabu tunawazika kwa heshima wale walio machukizo mbele za Mungu

    Wasalaam, Nilipokuwa kidato cha tatu, mwanafunzi mwenzetu alijiua kwa kunywa vidonge 16 vya chloroquine. Binti huyo aliyekuwa akiitwa Rebeka, alikuwa mzuri wa sura, umbo, na tabia na kwa kweli hakuna hata mtu mmoja aliyewaza kuwa mrembo huyo angeweza Kujitoa roho kikatili hivyo. Kifo chake...
  2. JamiiForums Tanzania Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

    Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja. Wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA Akiwemo Meya wa halmashauri Mstahiki Ally Mwafongo...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna mamlaka Duniani isiyowekewa mkono na Mungu

    Ni kweli tunajiuliza kama mamlaka zinawekewa mkono na Mungu, je wanaoiba kura halafu wanashinda huwa mkono wa Mungu unakua na hiyo serikali? Mimi labda nitowe wazo langu. Labda hao wanaoibiwa kura na wakashindwa, MUNGU hajawakubali ndio maana akaruhusu waliopo waendelee hata kwa kutenda...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Bodaboda, Machinga na Mama N'tilie, Mungu awape nini tena juu ya Rais Magufuli?

    Turudi nyuma kidogo. Wafanyabiashara wadogowadogo mnakumbuka mateso mliyoyapata tena kwenye ardhi yenu ya nyumbani Tanzania? Bodaboda, machinga na mama n'tilie. Mkabughudhiwa kufanya shughuli zenu kwenye maeneo flanflan ya nchi kama vile nyie sio binadamu na kwamba hamtakiwi. Yani kwenye ardhi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asante sana Tundu Lissu kwa kutetea Waislamu walioko jela kwa uonevu, Mungu akulipe kheri nyingi sana

    Kwako Ndugu Lissu Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa dini ya Kiislamu walioko Jela kiuonevu. Umekuwa consistent sana kuhusu uonevu huu, umezungumzia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuipata " Haki" kwenye Siasa duniani kote. Siasa inatoa Amani, Haki hutoka kwa Mungu

    CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wanahoji kwanini viongozi wa serikali hawapendi kutamka neno " Haki" na badala yake wamekuwa wakitamka Amani wakati wote. Mimi nawauliza Mbowe, Zitto na Prof. Lipumba ndani ya vyama vyao wanahubiri haki? Na je vyama vyao vinatoa na kutenda haki? Na je madaraka...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  10. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Nilikuwa kama kondoo niliepotea, Mungu kanirudisha kwenye zizi lake la kondoo

    Ni maada kwa dini zote wakristo na waislamu na wala sitegemei wachangiaji kuanzisha malumbano Hakika Mungu anatupenda, Mungu baba wa mababa, mfalme wa wafalme, mungu wa miungu, alfa na omega, mwenye ufalme, utakatifu na nguvu milele na kokote ulimwenguni. Nina miaka 28, kwa kipindi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Tundu Lissu amshukuru Mungu kwa matendo makuu

  13. JamiiForums Tanzania Niliishi kwa kuamini nina UKIMWI kwa zaidi ya miaka 9, asante MUNGU

    2000 mwaka niliomaliza shule ya msingi na kama ilivyo kwa sisi wahenga wa miaka hiyo ilikuwa kuna kitu kinaitwa pikiniki.(Kwa wanafunzi mliomaliza shule mnaenda sehemu kusheherekea kumalizia elimu ya msingi (haijalishi utakuwa mkulima au utaendelea na elimu ya seco lazima ukasheherekee muhimu...
  14. JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums Mwenzangu asikudanganye Mtu na usivunjike Moyo unaweza ukakimbiwa na kudharauliwa na wengi, ila Mungu 'atakuteulia' tu wa Kukusaidia

    LIPO JAMBO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KWENYE STORY HII. Simulizi ya Maisha ya Kweli: Ronaldinho 'Gaucho' alipokamatwa pamoja na kaka yake Roberto Assis kutokana na kesi ya matumizi ya pasipoti bandia huko nchini Paraguay na kuwekwa kizuizini katika gereza lenye ulinzi mkali la Agrupacion...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Ahsante Mungu katikati ya machozi umenipa mapacha wawili!

    KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM MSTAAFU MAKONDA AMEANDIKA: Heshima na Mamlaka ni zako eee Mungu wa Mbingu na Nchi na kwako wewe tunalia Aba, nitaendelea kutaja ukuu wako siku zote za maisha yangu kwakua hujawahi kuniacha hata dakika moja. Pamoja na mapito magumu na mazito lakini naiona nuru...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu alituumbia akili?

    Wakuu natumai mko poa kabisa. Swali hili najiuliza kila siku, kama Mungu anataka tufanye yale anayotaka yeye kwanini alituumba na akili? si alikua ana uwezo wa kutuumba tumumfate automatic. Swali lingine ni kwanini alituumba bila makubaliano, yaani hakushirikishi kwene uumbaji wako, unajikuta...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ashukuru "mungu" wake kizazi cha viongozi wa dunia kimebadilika sana, enzi za akina Obama tungezungumza mengine.

    Ni ukweli usiopingika kizazi cha viongozi wa kidunia na marais wa nchi kubwa duniani kimebadilika sana. Tukianza na Katibu Mkuu wa UN ni kama amepoa sana na taasisi yake imekosa mashiko. Tukija kwa Taifa la Marekani nalo sera zake za nje zimekosa meno kabisa kutokana na Rais wao Trump...
  18. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

    Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu siyo Abood ninayemjua. Huwezi kuwa mwema utotoni ukawa shetani uzeeni

    Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa. Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume na wagombea asipige kampeni Bali apite bila kupingwa. Mtu huyu anashindwa kujua riziki inatoka kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…