Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,926
1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni/ Kivukoni
2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer
3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini
4. Punguza Kumsaliti wazi wazi na Kumdharau uliyemtoa Kota za Polisi kwani anakulaani Kimoyomoyo
5. Tumia muda wako mwingi Kutubu na Kisirisiri Kuwaomba radhi wale uliowakosea kwani wanaumia
6. Waheshimu Wakubwa zako na waliokutangulia pia Kikazi na acha Kuwadharau au Kuwadhalilisha
7. Jishushe acha Ubabe, Kiburi na Ujeuri wako wa Asili kwani ndiyo unaokugharimu kwa sasa

Nuksi yako yote imetokana na hayo mambo Saba (7) niliyoyataja hapa. Yatafakari na badilika upesi sana.
 
1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni / Kivukoni
2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer
3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini
4. Punguza Kumsaliti wazi wazi na Kumdharau uliyemtoa Kota za Polisi kwani anakulaani Kimoyomoyo
5. Tumia muda wako mwingi Kutubu na Kisirisiri Kuwaomba Radhi wale uliowakosea kwani wanaumia
6. Waheshimu Wakubwa zako na waliokutangulia pia Kikazi na acha Kuwadharau au Kuwadhalilisha
7. Jishushe acha Ubabe, Kiburi na Ujeuri wako wa Asili kwani ndiyo unaokugharimu kwa sasa

Nuksi yako yote imetokana na hayo mambo Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa. Yatafakari na badilika upesi sana.
Hiyo ya Ilala Boma imemshupaza shingo. Hiyo sasa hivi si ya kutumbuliwa na kuachwa mitaani. Kuitumbua na kuiacha mitaani ni hatari sana.
Pia kuna takataka mpya imeokotwa jalalani na kuletwa kwenye meza ya chakula.
 
1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni / Kivukoni
2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer
3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini
4. Punguza Kumsaliti wazi wazi na Kumdharau uliyemtoa Kota za Polisi kwani anakulaani Kimoyomoyo
5. Tumia muda wako mwingi Kutubu na Kisirisiri Kuwaomba Radhi wale uliowakosea kwani wanaumia
6. Waheshimu Wakubwa zako na waliokutangulia pia Kikazi na acha Kuwadharau au Kuwadhalilisha
7. Jishushe acha Ubabe, Kiburi na Ujeuri wako wa Asili kwani ndiyo unaokugharimu kwa sasa

Nuksi yako yote imetokana na hayo mambo Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa. Yatafakari na badilika upesi sana.
Hujawahi kuniangusha, akubali asikubali wewe umemaliza kazi uliyotumwa na Malaika wa Bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni / Kivukoni
2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer
3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini
4. Punguza Kumsaliti wazi wazi na Kumdharau uliyemtoa Kota za Polisi kwani anakulaani Kimoyomoyo
5. Tumia muda wako mwingi Kutubu na Kisirisiri Kuwaomba Radhi wale uliowakosea kwani wanaumia
6. Waheshimu Wakubwa zako na waliokutangulia pia Kikazi na acha Kuwadharau au Kuwadhalilisha
7. Jishushe acha Ubabe, Kiburi na Ujeuri wako wa Asili kwani ndiyo unaokugharimu kwa sasa

Nuksi yako yote imetokana na hayo mambo Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa. Yatafakari na badilika upesi sana.
kingine aache dharau, usaliti, mateso kwa mam
 
Back
Top Bottom