mungu

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
  2. JamiiForums Tanzania Kwaheri Magufuli; Kila la heri Mama Samia Hassani Suluhu, tunakuombea kwa Mungu uongozi uliotukuka

    Kwaheri Rais Magufuli, ndiyo lugha pekee iliyobaki tunayoweza kuitumia kwa sasa kwa kuwa hakuna namna ambayo tunaweza kuifanya kurudisha uhai wa mpendwa wetu, tumwombee apumzike kwa amani roho yake ilazwe mahali pema peponi, Amen. Mimi binafsi pamoja na mapungufu ya kibinadamu bado ninaamini...
  3. JamiiForums Tanzania Miziki isiyo ya maombolezo yapigwa marufuku Mwenge, Dar es Salaam

    Inasambaa sana na kwa kasi mitandaoni. Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM. Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe. Eti "...HII NI AMRI SIYO OMBI..." Hawa MATAGA hawataki kujifunza kwa hiari nadhani... Hawa ni wazi...
  4. JamiiForums Tanzania PUMZI/UHAI: Kitu cha gharama kubwa zaidi kinachothibitisha ukuu wa MUNGU; Tuitumie vizuri hapa duniani

    Ndugu zangu watanzania kwa wanaoamini MUNGU na wasioamini Ni ukweli ulio wazi kuwa, kinachomfanya binadamu awe hai ni PUMZI yake, bila pumzi maana yake hakuna uhai Mtu kufa maana yake pumzi imefikia ukomo, hata wanasayansi pamoja na ujanja wao wote lakini wameshindwa kabisa kutengeneza pumzi...
  5. JamiiForums Tanzania Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

    Kuna habari inatembea sasa ikimwonesha mvuvi anayedaiwa kuvua samaki mwenye thamani ya pesa za Tanzania billion 6 na anadaiwa baada ya kumvua alimla na wanakijiji wenzie. Kwa haraka haraka hakuna anayeweza kumlaumu jamaa maana angejuaje kama thamani yake ndio hiyo. Ila swali nikuwa huyu jamaa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dharau na je hakuna sheria ya kusimama upande wangu?

    Habari waungwana. Kuna jamaa alinipigia simu kuwa kuna kampuni inatafuta mtu wa nafasi fulani. Basi nikamwambia wape namba ya simu. Nikapigiwa simu kwamba nitume Cv, nikawatumia cv halafu ikawa kimya karibu mwezi basi mimi ikawa nimeipotezea tu hiyo kazi. Baadae nikapigiwa simu na kufanyiwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Hello, Ninatafuta Ajira
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ooh happy day: Oh lalalala siku nzuri sana hii, asante Mungu

    OOH HAPPY DAY ..lalalalalalalalalalaaaa lalalalalaaaa Siku imeanza vizuri sana Thank you Jesus kwako kila goti litapigwa,nakula double kicks za kutosha huku nikiangalia movie ya UNDERCOVER BROTHER OOOH HAPPY DAY..USHUKURIWE MUNGU
  9. JamiiForums Tanzania Hapa ndipo huwa ninautukuza utukufu wa Mwenyezi Mungu

    Unanunua viatu unavaa vinakwisha lakini hii ngozi iliyoumbwa na Mungu inaishi.
  10. JamiiForums Tanzania MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

    MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kisa cha Desmond Doss na dhana ya uwezo wa nguvu za Mungu

    Duniani kuna Imani nyingi za kidini , karbia kila mwanadamu anaamin uwepo wa nguvu zisizo za kawaida katika maisha ya binadamu... uwepo wa Mungu ni dhana inayoaminika na wanadamu karbia wote duniani , hata hvyo Mungu huyu anaabudiwa Kwa mfumo na Imani tofaut tofaut ... Kuna wanaomuabudu kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa upendo wako usio na kifani

    Habari zenu wanajamvi. Nawasalimu katika Jina Kuu la Bwana wetu Yesu Kristo lipitalo majina yote. Ni wakati mwingine tena ambao kwa upendeleo Mungu ametupa hapa duniani kuwepo na ni jambo la kumshukuru sana mungu kwa mambo yote ambayo ametutendea katika maisha yetu. Napenda kibinafsi...
  14. JamiiForums Tanzania Msijidanganye, hakuna cha kumtuliza mwanamke, omba Mungu akujalie anaejua thamani yake tu

    Habarini humu ndani. Kuna vitu vinashangaza sana, hasa mtu anapokwambia tafuta pesa hutoteswa na mapenzi, Mara ooh six pack watoto watakukimbilia, Mara mdekezee tu ndo kitu wanapendagaa, hapo wakuu Hamna lolote la maanaa la kumfanya mwanamke atulie na wwe. Utafanya yote na uamuzi utabaki kwake...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

    Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema. Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Museveni: Mungu ana kazi nyingi, hawezi kuwa tu hapa Uganda akiwaangalia wajinga

    Mseven adressing the nation ====== Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi nyingi na hawezi kuwa Uganda tu akiwaangalia wajinga Ameongeza kuwa Mungu amewalinda na hakuna kifo...
  17. JamiiForums Tanzania Hakika naye anamtumaini Mungu

    Just to be curious. Hii ina maana kuwa Mungu yupo, na yeye ndiye akupae akili ya kujilinda
  18. JamiiForums Tanzania Tunamuomba Mungu atukinge na Corona, kesho watalii wanatua KIA, AKIA, JNIA huku nchi ikiwa wazi mipakani

    Imani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata. Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi? Hapa tunacheza na imani, imani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Father Dkt. Kitima: Tunakubaliana na Rais Magufuli kwamba tumuombe Mungu na tuchukue tahadhari za kisayansi dhidi ya Covid 19

    Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona. Father Kitima amesema ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…