mungu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mungu anaifahamu vema katiba Yetu; alimtwaa JPM huku akijua VP ndiye atakuwa Rais wetu. Watanzania tupokee hii zawadi kwa mikono miwili

    Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu. Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  3. JamiiForums Tanzania Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

    Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za kutambia akanijibu ngoja aongee na mke wake jibu lilikoja eti wife kamkatalia Mwaka jana yakajirudia...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

    Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao. Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta. Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.
  5. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

    Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030. ----- Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo...
  6. JamiiForums Tanzania Ya Mpango ni Ishara Mungu anakuonesha Mh. Rais

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tusidharau kauli yote tunamwachia Mungu

    Watu waliwadhihaki sana waliokuwa wanaonewa kwa kusema YOTE TUNAMWACHIA MUNGU. Nakuwatukana eti watanzania ni wajinga na kamwe hawatakombolewa kwa kusema yote tunamwachia Mungu. Vilio vingi sana vilisikika watu walipobomolewa nyumba zao na kusema YOTE TUNAMWACHIA MUNGU. Waliobambikiziwa kesi...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu aliyeumba Milkway(kilimia) galaxy na ulimwengu kwa ujumla ni mkuu sana

    Mfumo wetu wa jua na sayari zake vimo ndani ya galaxy inayoitwa milky way(kilimia). Galaxy ya kilimia ina umbo kama sahani iliyogawanyika kwenye mikia (arms)mbalimbali. Sahani hiyo ina upana wa 150,000 hadi 200,000 light years(miaka ya mwanga). Hapa maana yake kutoka mwisho mmoja wa sahani...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu chonde; hubirini habari njema za ufalme wa Mungu na sio ufalme wa dunia hii

    Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho. Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana. Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri. Hubirini...
  10. JamiiForums Tanzania Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  11. JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

    Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu. Ukifanya hivyo, wananchi wa...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni dhamana nzito kwa mwenye hofu ya Mungu

    Uongozi sio kitu cha kukimbilia wala kukihangaikia. Kwa mtu yeyote yule mwenye hofu na Imani kwa Mungu huwa hana tabia ya kukimbilia au kuhangaika kutafuta vyeo kwa sababu anajua kuwa cheo ni dhamana kubwa sio tu kwa Binaadamu mwezako bali Kubwa zaidi kwa Mungu. Hupaswi kufarahia sana unapo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bashiru alimkosea Mungu alipoteuliwa akakubali uteuzi, wanaoendelea kumteua wanamfanya azidi kutenda dhambi

    Kitendo Cha msomi na mdogo wangu Bashiru kukubali uteuzi wa KMK nikitendo chakumdhiaki Mungu lakini ni ishara ya kiongozi asiyefaa kupewa madaraka makubwa Wala madago kwani aamini na atendi kinachotoka moyoni mwake. Huyu ndugu yetu ametioka mbali na hii tabia, msimamo wake wakati wa katiba...
  14. JamiiForums Tanzania Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana. Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu shujaa anayelindwa na Mungu, silaha za kibinadamu hazikuweza kutoa uhai wake

    Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria. Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tumemuomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na Shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu

    Bado tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Tumemwomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Hakika Mungu amesikia kila kona ya dunia ikiomboleza. Ngoja tusubiri, majibu ya Bwana
  17. JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

    Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wasioamini Mungu (Atheists) juu ya udhalimu wafanyao Watu kwa watu wengine

    Mjadala wa maadili hasa juu ya wema na uovu ni mjadala mkubwa na mzito sana kwa Wakana Mungu(Atheists) na unawasumbua sana, sijajua hawa tulio nao humu JF ila kwa wale wakubwa hasa kina Richard Dawkins na mfano wao, ndiyo maana leo hii nimekuja na hili la uovu na wema ili tupate kuwasikia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Nilimuunga mkono hayati Magufuli na sasa namuunga mkono Rais Samia, akitugeuka na mimi namgeuka

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani. Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
  20. JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Mungu bado hajalitupa taifa lake la Tanzania

    Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu awajibu mambo kadhaa. Mambo hayo ilijumuisha kubainisha harakati za kichawi kwenye ile shule, Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…