mungu

  1. JamiiForums Tanzania Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM. Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa S/Mitaa na Uchaguzi Mkuu ni sababu tosha za kutomsamehe Shujaa bali tumuachie Mungu ataamua.

    Kuna Mapro mwendazake wengi wanataka watanzania hasa waliojeruhiwa na utawala wa Shujaa kusamehe na kuendelea mbele na mambo mengine. Tukiroll back kuanzia uchaguzi wa S.Mitaa ukija uchaguzi mkuu na taharuki za jumuiya ya kimataifa mimi nachelea kusema kuwa kaka yangu aliumiza sana watu tena...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni bora kupitia hali ngumu ukiwa mikononi mwa Mungu

    Habari zenu wadau, Ngoja niwape story ya ndugu yangu mmoja hivi, ni binadam yangu ambae tulikua tumeshibana sana katika maisha ni mpambanaji wa kufa yaani jamaa alikua ni mtafutaj mno mno. Alitoka kijijini akawa anaishi kwetu baadae akajipanga akaenda kujitegemea wilaya nyingine kwa jinsi...
  4. JamiiForums Tanzania Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

    Habari wanakamati! Naomba muungane nami kuupata huu ujumbe. Mungu anaisafisha dunia, na kila bonde litasawazishwa, kila kilichotukuka kinashushwa, kila anayeigiza utakatifu atafyekwa. Hii dunia inasafishwa sasa. Ujumbe tayari. Mithali. 10:25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mambo ya kiibilisi hufanikiwa fasta kuliko ya Mungu?

    Ukitaka utajiri wa kichawi au kifreemasoni ni kugusa tu, cha msingi uwe tayari kutimiza masharti. Ukitaka utajiri wa KiMungu hata ufanyeje lazima usugue benchi vya kutosha. Hata Ibrahim mwenyewe utajiri wake alitoka nao kwao akiwa mpagani. Matajiri wakubwa wa kikristo ni wachungaji ambao hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu samehe, Shukuru Mungu upo hai

    Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai. Samehe ilimradi wewe ni mzima na Mungu anakulinda kwa gharama zake yeye. Ulipigwa Risasi, Ukanyimwa pesa za matibabu, ulinyimwa mshahara, Ukanyimwa ubunge wako, Ulinyimwa uhuru wa kuishi nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Rais sio Mungu naye huwa anakosea

    Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea. Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema tuorodheshe mazuri na mabaya yao jamiiforums server haitatosha. Ushauri kwa mama: Achape kazi tunampenda...
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

    Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopata mke, Mwanzo sikumpenda ila sasa nampenda sana

    Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilimpenda sana. Tulidumu kwenye mahusiano kwa miaka 4. Ujasiri wa kumpenda ulikua mkubwa sababu nilimjua tu baada ya yeye kumaliza kidato cha nne. Mtoto alikua na bikra na jinsi alivyokua mzuri ni kitu ambacho sikutarajia Wakati huo tulikua Arusha, nilihamia...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
  11. JamiiForums Tanzania Mjue Mungu wa Freemasonry

    Habari hii ni ndefu Sana ila nitaielezea kwa ufupi kwa kadri nitakavyo weza. Freemasonry Wana amini nini kuhusu Mungu wa Israel? Freemasonry Wana amini kwamba Mungu wa Israel yupo na ana nguvu lakini sio Mungu mwenye nguvu zote " the Most High God" Wao Wanaamini kwamba juu ya Mungu wa Israel...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

    Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
  13. JamiiForums Tanzania Azam (SS Bakhresa) Mwenyezi Mungu akupe nini zaidi..!!

    Kwa jina la Muumba na kwa upendo JMTanzania. Mwarabu huyu ametuonesha uzalendo na upendo wa dhati kwa Taifa letu adhimu. WanaMichezo na wanaHabari na wadau wengi watafaidika kwa njia mbalimbali ktk MKATABA na TFF ULIYO WA KIPEKEE hapa Barani Afrika. Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yanga hii bado sana kiushindani

    Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mchezo waliouonyesha Yanga dhidi ya Mwadui imeonyesha kwa kweli Yanga bado sana. Naishauri Klabu ya Yanga isajili wachezaji wenye viwango kama Simba. Yanga sasa wamepangwa kukutana na Biashara united ya Mara kwenye Kombe la FA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania China Corona imepungua sana nao wanadai Mungu kawasaidia

    Taifa lenye watu wengi zaidi dunia, watu 1,444,251,755 mpaka kufikia tarehe 21/05/2021 kulikuwa na maambukizi mapya 24 tu, sawa na 0.000001, na vifo tangia ugojwa uanze ni watu 4636 tu ndiyo wamepoteza maisha. Italia imepoteza watu124, 810 Iran imepoteza watu 78194 German imepoteza watu 87,639...
  16. JamiiForums Tanzania Japo wenye Maono ya Kimpira tulisema tumeshatoka, ila yafuatayo kadhaa yamechangia kabisa Kaizer Chiefs FC Kufuzu kwa Aggregate ya 4 - 3

    Kwanza nianze kwa Kuipongeza Simba SC kwa Kufa Kiume kwa leo nayo Kushinda Goli 3 kwa 0 japo tumetolewa kwa Kanuni ila hatujafungwa bali wote tumeshinda katika nchi zetu. Hata hivyo kwa Maoni yangu kutokana na Jicho langu la Kimpira na Mtazamo wake baada ya Kuungalia mpira wote kuna Mapungufu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

    Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo. Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio. Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona. Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo. Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia. Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya...
  19. JamiiForums Tanzania Silazimishi (Siwalazimishi) ila kwa Kikosi hiki kama Kikipangwa Kesho huenda Malaika wote na Mungu nae akawa upande Wetu Simba SC

    1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Thadeo Lwanga 7. Jose Miquissone 8. Muzamiri Yasini 9. Chris Mugalu 10. Clatous Chama 11. Bernard Morrison Wachezaji wa Akiba wawe hawa tu 1. Beno Kakolanya 2. David Kameta ' Duchu ' 3. Pascal Wawa 4...
  20. JamiiForums Tanzania "Upole si udhaifu" Mungu anaona Upole sifa muhimu sana

    Baadhi ya watu wanaamini upole ni udhaifu. Upole ni nini? Upole ni sifa muhimu inayomtafsiri mtu anaechukulia mambo kwa uzito bila kukurupuka. Mpenda haki, asiependa lawama. Mungu mwenyewe ni mpole ndio maana hajachukua hatua ya kuwaondoa waovu mapema,amewapa muda wa kutafakari. Musa alikua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…