mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

    HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE. Anaandika, Robert Heriel Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila...
  2. Ednatha

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Habari! Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo, 1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50. 2. Awe mkristo 3. Asiwe na ndoa 4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato Mengine tutajuzana PM, karibu.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake washaurini(kuwasaidia) binti zenu kutafuta mume kuanzia wakiwa miaka 17-25

    Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Sheria Mtaani: Kufanya kazi za ndani nyumbani ni jukumu la mume siyo mke

    Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria. Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari: Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mke amkata Mume kwa panga kisha ajiua

    Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Sibwesa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Wande Emmanuel (30), amemjeruhi mumewe, Dotto Enosi (35) kwa kumkata na panga kichwani kisha na yeye kujinyonga kwa kutumia kitenge. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame Hamad, alisema tukio hilo lilitokea...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  9. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

    Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme, mabuzi, wazama uvinza, wanaapolo, wabambikaji, wanakemia na Aina zote za watu wapendao ngono...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  12. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mwana JamiiForums mwenzangu, msamehe mke wako japo ni kweli alichepuka kwa mume wa shosti yake

    Habari viongozi, na watu wote. Naomba kwanza ku-declare my side ni kwamba siwezi kumwacha mke wangu niliezaana nae hata mtoto mmoja tu kisa amechepuka. Kuna ndugu yetu humu ndani amemfukuza jana mke wake huko Dar baada ya mke wa mume aliyechepuka na mke wake kuja na kundi la watu wakiwa na...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamke amuua mume kwa kumchoma kisu zaidi ya mara 140

    Mwanamke mmoja anayeitwa Joan Burke mwenye umri wa miaka 61, kutoka Jimbo la Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia tuhuma za kumchoma na kisu mume wake kwa zaidi ya mara 140 na kupelekea kifo chake. Taarifa ya Polisi kutoka Kituo Palm Springs imeeleza walipokea simu Februari...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue "TANAKA", dawa ya kumfarakanisha mume na nduguze na marafiki pia

    Tanaka ni dawa inayotokana na uchafu wa hedhi,kucha za miguuni,kitambaa kilichofutiwa manii baada ya kujamiana, nywele za kwapani na uvunguni, kunde maiti, maji ya maiti na kitovu cha mtoto mchanga ambapo huchanganywa pamoja na dawa nyingine za mitishamba, na maji, huchanganywa humo na kuwekwa...
  15. mama D

    JamiiForums Tanzania Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

    Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya bar, vipodozi na urembo Rest amekua akifanya biashara kwenye moja ya eneo linalomilikiwa na baba...
  16. Fene

    JamiiForums Tanzania Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

    Salaam wanaJamiiforums Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  18. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  19. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
Back
Top Bottom