mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
Hujajipanga unaishi kwa mazoea ,unapopanga kupata mtoto anza kuweka na pesa kabisa ya kumhudumia utaona raha sana ,ila hili la kusema tu kwa kua hua napata riziki yangu let say daily au monthly kisha ukapiga hesabu za kichwa tu sikosi kumhudumia kwa kuangalia unachoingiza hapo umekosea.
Siku ikitokea changamoto yeyote ile unakua umefeli, andaa pesa ata miez saba kabla ya mama kutunga mimba na isiguse uone raha yake ?
Au kwako mkuu mimba zinakuja na mkosi ?
 
Ni either kipato kimepungua au matumizi yameongezeka, ila hakuna uhusiano mwingine kati ya ujauzito na changamoto za kiuchumi.
 
habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
Matumizi huongezeka nyumba ndogo kutokana na kibano.
 
Hujajipanga unaishi kwa mazoea ,unapopanga kupata mtoto anza kuweka na pesa kabisa ya kumhudumia utaona raha sana ,ila hili la kusema tu kwa kua hua napata riziki yangu let say daily au monthly kisha ukapiga hesabu za kichwa tu sikosi kumhudumia kwa kuangalia unachoingiza hapo umekosea.
Siku ikitokea changamoto yeyote ile unakua umefeli, andaa pesa ata miez saba kabla ya mama kutunga mimba na isiguse uone raha yake ?
Au kwako mkuu mimba zinakuja na mkosi ?
Naunga mkono hoja
 
Kweli tuko tofauti,mke wangu nikiwa nae Karibu halafu akiwa Ana furaha basi kazi zangu hua Ni Kama namsukuma mlevi vile,sim za Kodi ya meza huwa zinaanza kuitia nikiwa home najiandaa kutoka.
Sasa hv kila hela ya kwanza kuishika huwa namfanyia kitu kupitia hyo hela(tunagawana) either muda wa maongezi or kumnunulia kitu, system inaendelea.
Kuhusu mimba,Uwe unajipanga mapema.
Weka kiasi fulani kitakachokufanya usiwe na wasiwasi mkubwa kila ukiwaza ujauzito aliobeba wife.
Mfanye mkeo afurahi kila akikuskia,akikuona au kukuwaza.life is too short bro
 
Back
Top Bottom