mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Mume auawa na mke Kisa wivu wa kimapemzi

    Heri ya mwaka mpya in advance.. Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku. Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen. Wanaume muwe mnaangalia wake mnaooa ukiona ana viashiria vya ushari achana nae mapema maana utakuja...
  2. DreezyD98

    JamiiForums Tanzania Mke amuua mume kisa wivu wa kimapenzi

    Mwalimu wa Sekondari ya New Kiomboi mkoani Singida, Simon Roman (33) amefariki dunia baada ya kuchomwa moto na mkewe sababu ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo lilitokea Desemba 27, 2021 jioni baada ya mume kurudi kutoka matembezi huku mkewe akitaka kujua kuhusu uhusiano wa mumewe na...
  3. chongoe

    JamiiForums Tanzania mke akiwa mja mzito na mume kuwa na hali mbaya kiuchumi inahusiana vp?

    habari zenu na waku hii mara ya tatu sasa kabla ya ujauzito mke wangu huwa tuna maisha mazuri ila akiwa mja mzito mipango mingi inadunda na haionekani inakuwa kwangu tu au nawezangu huwa hivi?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kushea nae mume

  5. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Radi yapiga wapenzi wakizini

    Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba. Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu...
  6. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  7. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Lucy Natasha apata mume raia wa India

    Wimbo ulio Bora 3 :4 Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi; Nikamshika nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani kwake aliyenizaa. Pastor Lucy Natasha alinukuu huo wimbo ulio bora mbele ya kusanyiko la wapendwa hivi majuzi kuthibitisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

    Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka. Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida. Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

    Mwenyekiti wa kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Agustine Moshi(35) amemuua mkewe, Anastasia Agustine (31) kwa kumkata kata na kitu chenye ncha kali na kisha mwenyewe kujiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Mwenyekiti huyo ambaye pia ni...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Unaweza mwambia mume wako idadi ya wanaume ulio-jamiiana nao awali kabla ya yeye kukuoa?

    Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia. Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
  11. Zee Korofi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

    Ila wanaume ndio tunaongoza kwa kutokua na siri, wanawake sijui wana moyo gani, wabarikiwe kwa kweli wanakufa na siri zenu nyie show mbovu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Mwagito84

    JamiiForums Tanzania Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

    NB. Hakuna anayeshare story ya maisha/Mikasa yake kwa nia ya kupata sifa. Kwanza hapa hatufahamiani, Siwezi tafuta sifa kwa watu ambao siwafahamu. Kwa hiyo comment zenu kama mna undugu na Malaika wa pepo au mna connection mbinguni huo ni upumbavu hence unaweza tafuta jukwaa la fellowship...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mke anaruhusiwa na Sheria ya Ndoa kukopa kupitia jina la Mume na Mume kuwajibika kulipa

    SHERIA YA NDOA, SURA YA 29 KIFUNGU CHA 64(1), (2) and (3). Sheria ya ndoa chini ya kifungu tajwa hapo juu inamruhusu mwanamke ambaye ameolewa katika ndoa halali inayotambulika kisheria, KUKOPA fedha kwa jina la mumewe, au kuibadilisha mali ya mumewe inayohamishika kuwa fedha na kuitumia katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mume aua mke wake kwa Panga akimtuhumu kusaliti Ndoa yao

    Mwanaume anayejulikana kwa jina la Heneriko John (53) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga, amedaiwa kumuuwa mke wake Regina Jiyenze (45) kwa kumkata mapanga kichwani na mabegani, kisha kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga George Kyando, amesema tukio hilo...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ya Metacha na mke anaemfanyia jeuri mume wake wa ndoa

    Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma. Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee. Metacha Kwa jeuri Na...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Njia wanayoweza kutumia wadada kupata waume wa kuwaoa kwa haraka

    Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi kuliko wanaume; sasa usipotumia ujuzi wa kuzaliwa, utajikuta unazeeka mwenyewe bila mwenza. Ndio maana...
  18. Pamoja tunaweza

    JamiiForums Tanzania Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
  19. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania Kosea vyote, usikosee mume

    Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu. Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao. Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na...
  20. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Msaada. Homa ya Ini B. Mume anawezaje kumkinga mkewe?

    Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
Back
Top Bottom