muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  2. R

    Wanawake ni muhimu mkatambua hili

    Kwa wanawake naomba mtambue ya kwamba, Kuna makundi matatu ambayo wanaume wana wagrade wanawake walionao:- 1.Mwanamke ambaye unaenda nae geto mwenyewe. 2.Mwanamke ambaye unamwambia ampe bodaboda simu amuelekeze. 3.Mwanamke ambae unamuelekeza jinsi ya kufika geto mwenyewe. Uzi tayari...
  3. Hizi nguzo zilikuwepo na picha ya tausi, enzi hizo chumbani kwa bibi hiki ni kitanda muhimu.

    Kiliitwa kitanda cha semedari
  4. Ni muhimu kuacha mtoto kabla ya kufa?

    “Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni bora ufe na kumuacha mwanamke wako mjamzito kuliko kufa hujaacha chochote. Katika jamii yetu kuna...
  5. Kuelekea Mechi yake na Prisons FC Kombe la FA Kesho hofu yatanda Kikosini baaada ya Wachezaji hawa muhimu Kukosekana

    1. Tonombe Mukoko 2. Feisal Salum 3. Michael Sarpong Kwa Mtu wa Mpira na aliyeifuatilia Yanga SC 95% ya Ushindi wake ( hasa katika Mechi zake ngumu na za Kimaamuzi ) ni kutoka kwa Wachezaji hawa Waandamizi niluowataja hapa Juu. Kama 'Clip' ya Prisons FC niliyonayo ndivyo ambavyo watafanya...
  6. N

    Wanawake Wanaweza: Muhimu Yapi ni Majukumu ya Mwanamke na Yapi ni Majukumu ya Mwanaume

    Nani anahusika na kutengeneza mambo haya: lengo ni nini? Mwenye ufahamu wa mambo na elimu ya vitu hawezi kufikiri kwamba "wanawake hawawezi". Hakuna sababu ya kujadili au kufanya matangazo, mikutano au kuhamasisha kuwa wanawake wanaweza. Hili liko wazi wanawake wanaweza. Historia inaonyesha...
  7. Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  8. Kwanini Wewe pia ni Muhimu katika Ubunifu wa Kutengeneza wa Ulimwengu?

    Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia wakuu wa sayari hii. Wengine huhisi kana kwamba ukosefu wa utajiri au ushawishi wa muda mfupi...
  9. Mojawapo ya Agenda muhimu kwa Bunge kujadili ni bima ya Afya kwa wote

    Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage. Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
  10. Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
  11. J

    Ni muhimu kwa Mashirika na Kampuni mbalimbali kulinda Data za Wateja wao

    Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo; Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara), Anuani za Posta na Makazi za Wananchi ambao na Wateja wa Makampuni ya biashara Barua pepe za watu...
  12. Nahitaji kufahamu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo

    Wadau wa JF Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi? Nguo za kiume za dukani.
  13. Kwanini ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere ni muhimu?

    KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU? Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…