muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,Fuga App ni Muhimu Shambani kwako

    Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako kisasa ,Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida kwa Kujua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kuifungia JF, Urais wa Samia kukosa fursa muhimu ya kuhifadhiwa katika kumbukumbu za kisiasa nchini

    Laiti serikali ingejua umuhimu wa Taarifa zilizomo JF, bila shaka ingewapa nishani ya juu kabisa vijana walioanzisha mtandao huu. Jamiiforums, Imeudocument vizuri utawala karibia wote wa Jakaya Kikwete, Imeudocoment vizuri utawala wote wa John Pombe Magufuli. Hii maana yake ni kwamba Taarifa...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
  5. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Salamu ni kitu cha muhimu sana hata kama hutaki kuongea na majirani zako

    Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri. Note: Maisha ni yako sawa ila matanga ni yetu.
  7. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

    1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka 2.Mheshimu. 3.mpe yote kitandani 4.usimufokee 5.usiwe mropokaji 6.mpikie chakula kitamu 7. Uwe msafi 8. Usiwahi shika simu yake. 9.heshimu wazazi wake. 10. Be a...
  8. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  9. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

    Asalaam aleykum waungwana wote, Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

    Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu! Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe; 1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

    Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya 1. Uoe au Kuolewa Kaskazi 2. Usome Kaskazini 3. Uzaliwe Kaskazini Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Je salama kuhifadhii Vitu Vyanguu kwa Memory Card

    Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Kuna wakati niliamini kabisa kuwa memory card (SD au microSD) ndiyo njia salama zaidi ya kuhifadhi mafaili. Zilikuwa ndogo, rahisi kubeba, na unaweza kuzitumia kwenye simu, kamera, au laptop bila taabu yoyote. Lakini kadri siku...
  13. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoamka Asubuhi ili Kulinda Afya Yako

    Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za Simba zizinduliwe Superdome Masaki, 'sisi' wa Msimbazi sio muhimu?

    Wenye fedha ndio muhimu msimu huu hapa Simba. Uzinduzi wa jezi za Simba umewalenga wao tu sisi wa Tandale tusubiri masazo baada ya vibopa kuzivaa kwanza. Hii imetudhalilisha vibaya sana sisi tunaopaka rangi nyekundu usoni viwanjani wakati wa mechi. Naomba matajiri waende kuishangilia timu...
  15. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania ❗️❗️Kama unamiliki hisa za Benki hakikisha uanaelewa hizi ratio mbili muhimu: CIR & NPL.❗️❗️

    🔎 Unapowekeza kwenye hisa za benki, kuna vipengele vingi vya kuzingatia. Lakini kwa mwekezaji makini, kuna ratio mbili muhimu zinazopima ubora wa biashara ya benki: 1️⃣ NPL – Non Performing Loans (Mikopo Chechefu) Hii hupima ubora wa mikopo inayotolewa na benki. Kadri kiwango kinavyokuwa chini...
  16. excel

    JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  17. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  19. magabelab

    JamiiForums Tanzania Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software) #### Vifaa (Hardware): 1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
Back
Top Bottom