#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii
📆 16 - 22 Juni, 2025.
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
katika
matukio
muhimu
muhtasari
muungano
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
wiki
Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!
Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako:
1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri
Anadai...
🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio.
Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza.
Unajiuliza lini uanze kuwekeza? 💭💰
Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize.
❓Je...
"Serikali ya awamu ijayo (2025–2030) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina budi kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, na kurekebisha sheria za kodi ziwe jumuishi kwa kila mmoja. Zaidi ya yote, ni lazima kuwe na uwazi wa mali za viongozi.
Kwa kuongezea, sheria ya kuwawajibisha wala rushwa...
🔁 Katika somo letu lililopita, tulijifunza kuhusu faida ya gawio — sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa.
📍 Leo, tunachambua tarehe muhimu zinazotajwa kampuni inapokuwa imetangaza gawio, ambazo mara nyingi huwachanganya wawekezaji wapya.
1️⃣ Dividend Declaration Date – Tarehe ya...
Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025.
https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9
====
Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
Wakuu
Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe?
Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼
Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
Habarini,
Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga?
Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo.
📍 Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii...
Vyombo vya habari vya Nje ya nchi na Kimataifa vyote vinazungumza jambo moja kubwa. Jambo hilo ni ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu unaofanywa na Serikali ya Rais Samia.
Vyombo hivi vya Kimataifa vimeripoti matukio makubwa kabisa ambayo yanaunda Makosa dhidi ya Binadamu na Ubinadamu. Makosa...
Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka.
Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa.
Hii mbinu inasaidia sana.
Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia.
Few days ago...
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini.
Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza.
Swali kwenu, nyie msiotaka...
Imeandaliwa na Smart Finance SW
Ndugu wafanyakazi,
Leo nimekuja kuzungumza nanyi siyo tu kama mfanyakazi mwenzenu, bali kama mtu anayejali maisha yenu ya sasa na yale yajayo. Nataka tujiulize swali moja la msingi: Maisha yetu yatakuwaje baada ya kustaafu?
Wengi wenu mkisikia neno “likizo”...
Habari mwanaJF,
Natumaini kuwa unaendelea vizuri. Hatujaonana siku nyingi. Nilikuwa nafanya "reset". Na Mungu amekuwa mwaminifu. "Ameninyeshea mvua" za baraka katika maisha yangu. Sikuwa na kitu January, lakini maghala yangu yanafurika sasa. Mungu ni mwaminifu!
Leo unapowaangalia watu...
Haijalishi ni used au bikra
Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu.
Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini.
Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.