muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni MUHIMU, mtoto analawitiwa washitakiwa wanatakiwa kulipa 800,000 kama fidia na kifungo cha maisha?

    Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja? Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje? JE alielawotiwa bikira itarudi? Watuhumiwa...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kukagua simu ya mke/mpenzi wako?

    Usiogope kukagua simu ya mke/mpenzi wako kuna baadhi ya details za muhimu sana utazipata na utajishukuru sana.
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotumia dawa za magonjwa ya mfumo wa mkojo na sehemu za uzazi kama UTI, kisonono (gonorrhea) na kaswende (syphil

    . Epuka kufanya ngono hadi matibabu yakamilike na daktari athibitishe kuwa ni salama, ili kuzuia kuambukiza wengine au kuambukizwa tena. Hii watu wengi hupuuzia lakini imekuwa ikifanya watu wengi kutokupona kabisa maana unapokuwa unatumia dawa hata wale bakteria walinzi wanakuwa wanazidiwa na...
  5. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Heshima Kwa mwanaume uliyezaa naye ni muhimu

    Shikamoon wakubwa wadogo zangu hamjambo. Suala la Sisi wanawake kumzalia mtu si la bahati mbaya, yaani ukiona tu nimebeba ujauzito ujue kabisa muhusika nimempenda, kubwa zaidi huwa ni Sura na mwonekano wake pamoja na huduma zake. Lakini sasa inapofikia mnakosana,hamuwezi kuishi pamoja,haina...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuyakabili na kuyadhibiti watu wabaya wanaopanga kujificha kwenye maandamano haramu siku zijazo

    Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini. Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Muhimu tu, tusipigane mizinga

    Kuna warembo humu, watu wanawaogopa kuwatongoza na kuwanyima haki yao ya msingi ya kupendwa. Wapo humu waliokwisha jikatia tamaa, kutokana na kutokusemeshwa maneno mazuri mazuri na mabaharia. Kupitia uzi huu, nimeamua kuwa mkombozi wenu; kama wewe ni mrembo mkali unayejiamini, na watu...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Sababu muhimu ya sera ya kutofungamana na upande wowote ni kuheshimiwa kwa maamuzi yetu ya ndani

    Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
  9. J

    JamiiForums Tanzania vidude muhimu sana kwa akina baba

    Napatikana kibaha ila ulipo unapata tu huduma namba 0712583157 kupiga au whatsapp pia
  10. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

    Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye. Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuongeza thamani ya madini yake muhimu

    Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka mgodi wa Acadia karibu na Harare, mji mkuu wa Zimbabwe. Mafanikio haya ya kihistoria yanamaliza...
  12. Foffana

    JamiiForums Tanzania Uzi: Je, una uhakika una 'Vidonda vya Tumbo'? Prof. Janabi atoa ufafanuzi muhimu!

    Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔 Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna changamoto kuhusu Uhalali wa Kumiliki Duka la Dawa Muhimu

    Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali. Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania. Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu, naambiwa Nitafute Cheti cha ADDO au Cheti cha Pharmacy ili niweze kufanya usajili. Ikiwa mimi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tunajivunia tulivyoumbwa mfano nguvu za mwili au vitu tulivyovikuta kama mito, milima na madini, kwanini hatujisifii vitu tulivyotengeneza ?

    Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na uvumbuzi usiohesabika, Wachina na Wahindi nao wameacha alama kubwa kupitia kazi na ubunifu wao...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 muhimu ambayo Xi amemuonya Trump wakiwa ana kwa ana kwenye mkutano Beijing

    1. Xi alimuonya Trump kuhusu "Thucydides Trap." "Can China and the US overcome the Thucydides Trap" –Xi Jinping Nini maana ya Thucydides Trap? Nchi mpya yenye nguvu inapoinuka, nchi kubwa ya zamani huanza kuhofu kupoteza nafasi yake na mvutano huongezeka. China inaendelea kukua kwa nguvu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania No matter what Privacy ni muhimu sana hata wakati wa pillow talk kuwa makini

    Privacy ni muhimu sana kwenye maisha. #privacy is key.
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mambo sita muhimu bajeti ya Wizara ya Maji 2026/2027

    ▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika kuhakikisha usambazaji wa maji salama nchi nzima. ▪︎Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukame...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotumia hesabu kutabiri matokeo ya mechi muhimu za jana na kujikusanyia mamilioni

    Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku https://www.jamiiforums.com/threads/leo-simba-ana-uwezekano-mkubwa-sana-wa-kushinda-nitawachambulia-kwanini.2434257/...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kipi muhimu Haki au Amani?

    Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa tutafute aani kwani kukiwa na amani unaweza kupata kila kitu Mimi ni nafanya kazi ya kutoa amani...
Back
Top Bottom