Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini.
Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
Kuna warembo humu, watu wanawaogopa kuwatongoza na kuwanyima haki yao ya msingi ya kupendwa.
Wapo humu waliokwisha jikatia tamaa, kutokana na kutokusemeshwa maneno mazuri mazuri na mabaharia.
Kupitia uzi huu, nimeamua kuwa mkombozi wenu; kama wewe ni mrembo mkali unayejiamini, na watu...
Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya mashariki na magharibi kwani ilitambua kuwa jambo muhimu mbele yake ni kukuza uchumi na ustawi wake...
Shikamoon wakubwa zangu wote
Wadogo zangu hamjambo.
Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye.
Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa...
Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka mgodi wa Acadia karibu na Harare, mji mkuu wa Zimbabwe. Mafanikio haya ya kihistoria yanamaliza...
Mara nyingi mtaani, watu wengi wamekuwa wakijigundua wenyewe au kuambiwa na watu wasio wataalamu kuwa wana 'vidonda vya tumbo' pindi wanapohisi maumivu au kuunguliwa na asidi tumboni. Lakini, je, hii ni sahihi kitabibu? 🤔
Prof. Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa JKCI, anasisitiza jambo moja muhimu...
Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali.
Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania.
Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu, naambiwa Nitafute Cheti cha ADDO au Cheti cha Pharmacy ili niweze kufanya usajili.
Ikiwa mimi...
Anonymous
Thread
dawa
dawa muhimu
duka
duka la dawa
kuhusu
kumiliki
muhimu
uhalali
Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na uvumbuzi usiohesabika, Wachina na Wahindi nao wameacha alama kubwa kupitia kazi na ubunifu wao...
1. Xi alimuonya Trump kuhusu "Thucydides Trap."
"Can China and the US overcome the Thucydides Trap"
–Xi Jinping
Nini maana ya Thucydides Trap?
Nchi mpya yenye nguvu inapoinuka, nchi kubwa ya zamani huanza kuhofu kupoteza nafasi yake na mvutano huongezeka.
China inaendelea kukua kwa nguvu...
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika kuhakikisha usambazaji wa maji salama nchi nzima.
▪︎Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukame...
Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho
Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku
https://www.jamiiforums.com/threads/leo-simba-ana-uwezekano-mkubwa-sana-wa-kushinda-nitawachambulia-kwanini.2434257/...
Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa tutafute aani kwani kukiwa na amani unaweza kupata kila kitu
Mimi ni nafanya kazi ya kutoa amani...
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1. Chanzo cha machafuko
Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana.
1. Nursing Pillow:
Huu ni mto wa kunyonyeshea, anaanza kuutumia tokea day 1, aisee utamsaidia sana.
2. Kagodoro kenye neti yake, haina hajanya maelezo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utaleta mabadiliko ya kweli kwa kubadilisha eneo la bonde la msimbazi ambalo ni hatarishi kwa sasa na kuwa sehemu muhimu kwa...
Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji.
Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.