muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Pamoja na Babalevo kucheza kamali ni wa muhimu kuliko Philipo Mpango

    Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
  2. Richard

    Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
  3. Godfrey- denis

    Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  4. Farolito

    Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
  5. mwanamwana

    Video: Mambo muhimu aliyofanya Hayati Benjamin Mkapa kuimarisha Demokrasia nchini

    Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya watawala.. ‬ ‪2. Demokrasia ya uwakilishi inatakiwa kutupatia viongozi wanaoamua kwa niaba yetu na...
  6. Paul dybala

    Neno 'sina' ni muhimu sana

    Utaratibu wangu mimi ni huwa sikopi kwa mtu, wala kukopeshwa na mtu,kwa sababu huwa inapelekea urafiki kufa kabisa huko mbeleni,mimi huwa nanuna na mambo yangu mpka natatua changamoto zangu mwenyewe Neno sina linamaliza kabisa utata japo huonekana kuwa ni lakikatiri sana unapomjibu mtu...
  7. M

    Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

    Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
  9. V

    Survey ni muhimu sana kabla hujachimba kisima cha kisasa

    Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa chenye matokeo chanya usichimbe bila kufanya survey Faida ya survey ✅itakupa uhakika wa kupata maji na yapo umbali gani kwa mita ✅utajua gharama halisi za uchimbaji Hasara za kutokufanya survey ✅kukosa maji au kupata maji machache yasiyokizi matakwa...
  10. Yoda

    Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

    Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati. Siku hii ya Ijumaa...
  11. The Zanzibar Echo

    Korea Kaskazini sasa ni chanzo muhimu cha silaha kwa Urusi

    Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
  12. Carlos The Jackal

    Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  13. Manyanza

    Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  14. GENTAMYCINE

    Academically vs Naturally Intelligent person, nani muhimu kijamii na anayeweza mapambano ya Maisha?"

    Leo ngoja nikae kimya tu hapa ili nizisome Comments zenu kutokana na Mada husika ili nami pia nijijue nipo upande upi.
  15. Dr isaya febu

    Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake

    Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa...
  16. Nyanda Banka

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAPENDI KUYAONA

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA. 1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au...
  17. F

    Kwanini Bima ya Gari ni Muhimu

    .
  18. The Zanzibar Echo

    Mambo 6 muhimu ya kukumbukwa ya Bunge la 12 la Tanzania

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavunjwa rasmi leo Juni 27, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia anatarajiwa kulitunuku hotuba ya mwisho. Moja ya mafanikio makubwa ya bunge hili ni kuulizwa kwa maswali zaidi ya 20,300, kupitishwa kwa miswada 58, maazimio 922 na mikataba...
  19. Crocodiletooth

    Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  20. Barakha John

    Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

    #mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti ...
Back
Top Bottom