Heshima Kwa mwanaume uliyezaa naye ni muhimu

Heshima Kwa mwanaume uliyezaa naye ni muhimu

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,419
Reaction score
4,111
Shikamoon wakubwa wadogo zangu hamjambo.

Suala la Sisi wanawake kumzalia mtu si la bahati mbaya, yaani ukiona tu nimebeba ujauzito ujue kabisa muhusika nimempenda, kubwa zaidi huwa ni Sura na mwonekano wake pamoja na huduma zake.

Lakini sasa inapofikia mnakosana,hamuwezi kuishi pamoja,haina maana ndiyo ushindwe kumuheshimu.

Kuna picha hapa chini ikionesha , socialite na muigizaji Aunty Ezekiel akimuwish ,mume wake msanii wa muziki wa kizazi kipya Kusah.

Huku akiandika maneno ambayo binafsi sijayapenda

Nini maoni yako.ambapo moja Kwa moja huenda yanamlenga aliyekuwa mwanaume wake yaani Dancer Maarufu yaani Mose Iyobo

Karibu.

20260622_181148.jpg
 
Back
Top Bottom