muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania RC's kuweni wabunifu, punguzeni utegemezi hasa wa huduna za Afya kwa kukosa vifaa muhimu

     Ni aibu kubwa mkoa unakuwa na watu zaidi ya 600K na Hospital ya Rufaa lakini inakosa vifaa muhimu kama machine ya CTI Scan ambayo gharama yake haizidi 4B. Mnaridhika kabisa wagonjwa kupewa rufaa kwenda mikoa mingine? Just imagine mnapoteza watu wangapi kwa ukosefu wa vifaaa muhimu kama...
  2. Brighton11

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  3. cacutee

    JamiiForums Tanzania Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

    Guys good evening Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa. Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote. Sasa katika Hali hii ile formular...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kama uzuri wa sura, umbo, ngozi na mguu ndiyo vigezo vyako muhimu kwa kuoa basi umepotea sana

    I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha. Kibaya...
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  6. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Mambo Manne Muhimu ya kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa

    Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae. Mambo mnne muhimu ya kuzingatia kabla haujafanya maamuzi ni; 1. HOFU YA MUNGU (DINI) Hiki ni kigezo muhimu sana cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya Taifa kwanini hamna michezo ya watoto na mgahawa

    Mwanangu juzi amekuja kiziara makumbusho ya taifa hapo, jioni namuuliza jinsi tour yake kama aliienjoy. Kasema hivi na hivi, kaniambia sijui kaona samak sijui vipi Swali langu kwenu kwanini hamuweki michezo kama pembea, seesaw, trampoline, or mgahawa. Pale kila nikipita naona watoto wamejaa ila...
  8. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to you

    Ni siku mpya hii, pia kwa ndugu wengine ni siku muhimu ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwao. Kama umezaliwa siku kama ya leo tujuze basi maana sisi ni familia. Japo hatuwezi kukumwagia maji, tutakupa wishes, ambazo pia zitaweza kukumotivate, na kufanya siku yako iwe njema na uifurahie zaidi...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Media ni Mhimili Muhimu kama ile mitatu ila ni dhaifu kiuchumi. Je, imefika wakati wapewe Ruzuku au iachwe ipambane na hali yake?

    Wanabodi Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  10. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Pesa Madafu: Hayo mengine sisi hatujui, muhimu uwe na pesa tu!

    Habari wakuu, natumaini mapambano ya maisha yanaendelea… Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajihidi nieleweke, bila kupoteza wakati, leo ningependa kushare jambo kuhusu pesa za moto’ (real story) Jamaa tumuite Hassan’ alichukuliwa na boss mmoja kutoka kijiji nakuletwa mjini kuuza Duka, alifanya...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania M23 Wateka mji muhimu sana kwa madini

    Nashindwa kuelewa sana inakuaje haka kakundi kameshinda taifa kubwa kama DRC, kanaendelea kujichukulia miji.............. A town at the heart of mining coltan, a key ingredient in making mobile phones, has been seized in eastern Democratic Republic of Congo by rebel forces, their spokesman has...
  12. greater than

    JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Hawa ndiyo wataalam muhimu wa ujenzi

    Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi. Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani Nyumba za chini mpaka ghorofa mbili Frame za maduka Zahanati Shule Majengo ya ofisi 1.AFISA MIPANGO...
  13. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Jiolojia Unathibitisha Uwezekano wa Rasilimali Muhimu katika Maeneo ya Kimberlite ya Tanzania: Je, Almasi Zaendelea Kupatikana?

    Kimberlites ni miamba ya kipekee ambayo mara nyingi hufanana na mianzi ya juu ya koni na ambayo ina uwezekano mkubwa wa kuwa na almasi. Hii ndio kimberlite ilivyokamili kabla ijapata mabadiliko ya kijiolojia: UGUNDUNZI: Kimberlite iligunduliwa kwa mara ya kwanza huko Kimberley, Afrika Kusini...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni jamii ya watu wenye self esteem ya kujithaminisha kwa vitu vya kijinga, vya muhimu hupewa kisogo

    Self esteem ni vile jinsi unavyojikubali kwa mtazamo wako, watu wengi hujikubali kwa maarifa waliyonayo, elimu, vipato, n.k. Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mtu anajikubali zaidi na kuona kinachompa heshima na kukubalika ni Maarifa mfano kujisifu kila mwaka anasoma vitabu 30, Kipaji...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kupigwa na jua ni muhimu kuliko tunavyodhani

    Moja ya vitamin ngumu kabisa kupatikana kutoka kwenye vyakula ni Vitamin D. Mahitaji ya siku ya vitamin D kwa binadamu ni wastani wa 600IU(International Unit). Ni vyakula vichache sana vinaweza kukupatia kiasi hiki cha vitamin D kwa siku. Vitamin hii hupatikana kwa wingi kwa kupigwa na jua. Mtu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

    1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu. 3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe...
  17. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya. Sasa squat sasaivi napiga uzito hadi Kg.150, Mimi mwenyewe nna Kg.80 urefu cm160. Je, Wataalamu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mafanikio ya Huawei ni muhimu katika kurekebisha mandhari ya uchumi wa dunia

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

    1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania DNA ni jambo la muhimu sana kwa hivisasa

Back
Top Bottom