muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  3. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nizingatie vitu gani muhimu wakati wa kununua gari ili nisije jutia baadae?

    Kila nikitaka kununua gari nawaza sana je nizingatie vitu gani ambavyo nitaviangalia ili kupata gari zuri Maana kuna jamaa mmoja kanunua gari mwezi tu kalipaki kisa ubovu, na mimi sitaki yanikute NISHTUENI WAZEE
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vitu 3 muhimu vya kuwa navyo unapoomba Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Geofrey Tengeneza kufahamu iwapo wameongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa (NIDA) ambaye ameeleza kuwa taarifa hiyo haina ukweli na siyo sahihi. "Hiyo siyo kweli na siyo sahihi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ardhi ni rasilimali muhimu ambayo tunapaswa kuithamini na kuitunza kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo

    THE STORY OF CHANGE Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya mwaka 2022, kumekuwa na ukuaji mkubwa wa miji na ongezeko la mahitaji ya ardhi kutokana na upatikanaji...
  6. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Mazingira pia ni sehemu muhimu kwenye afya zetu

    Salamu wanajamvii Mabadiliko ya kimiundombinu au miji ni sehemu pia inayogusa mazingira yanayotuzunguka moja kwa moja. Nikigusa moja kwa moja kwenye jiji ambalo nipo na limefanya niwasilishe kero/tatizo/kadhia hii ambalo ni jiji la Dodoma kuna tatizo kubwa la utunzaji wa taka. Utaratibu wa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UDSM (2020): Ubora Wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania - UCHAGUZI MKUU 2020

    Ikiwa Uhuru utatishiwa, basi Demokrasia na Uchaguzi vyote vitaathirika, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, mazingira ya Vyombo vya Habari yalijipambanua kwa kufungiwa kabisa kufanya kazi, kuzuiwa kwa muda, kufutwa kwa leseni na kuporomoka mno katika vipimo vinavyoonesha viwango vya Uhuru wa...
  8. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Udhibiti Endelevu wa Kitaifa wa Uwekezaji Muhimu

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari ya kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali, zikiwemo nyanja za kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiteknolojia. Mabadiliko haya chanya yametokana na hatua za makusudi zinazolenga kuimarisha maendeleo ya taifa kwa ujumla. Hata hivyo, njia...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujifunze mambo muhimu katika chaguzi mbalimbali

    Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India: Afrika Kusini: 1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa demokrasia ambapo wananchi wanapata nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa njia ya amani na wazi. 2...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  15. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu ni muhimu sana lakini havionekani katika hali ya ubora na kuna vitu ni bora lakini kuna wakati si muhimu kwa kiwango chake

    KUWA MUHIMU NA SI BORA Na Comrade Ally Maftah Bahati ninayoipata kijenga marafiki imenikutanisha na Abdulkarim, katika harakati za kisanaa tukiwa katika moja ya kikao nilibahatika kuokota busara kadhaa kutoka kwa kiongozi huyu. KUWA MUHIMU NA SI BORA Kuna vitu ni muhimu sana lakini...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  17. FINANCIAL MARKET

    JamiiForums Tanzania Zikumbatie na zilinde kwa wivu hizi rasilimali zako nne muhimu ili ufanikiwe, zinawindwa na wengi

    Rasilimali ya kwanza: ✅Uwezo mkubwa ulio ndani yako. Kila binadamu aliye hai, ana uwezo mkubwa na wa kipekee kabisa ambao upo ndani yake. Huo ni uwezo ambao akiweza kuutumia anaweza kupata chochote anachotaka kwenye maisha yake. Kwa bahati mbaya sana, wengi wanapuuza uwezo wao na kuishia...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

    Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀 Ndio maana hata katika...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo muhimu kufikia Tanzania ya Ahadi

    Tanzania kama ilivyo nchi nyingi zinazoendelea duniani na isiyo na uchumi uliosimama, ikiwa nchi yenye kujitegemea ki salafu, uongozi na sekita nyingine muhimu. Lakini bado haijafikia kuitwa inchi yenye maendeleo ya juu maendeleo stahiki yanayoiwezesha inchi kusimama kiimala katika nyanja zote...
  20. MURUSI

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya Fedha kwa Raia ni Muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. Tuanze na watoto sasa

    TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili. Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
Back
Top Bottom