Ni muhimu BoT kuongeza umakini katika hizi Benki

mastori

Member
Dec 16, 2022
13
44
Leo nilikua napitia mtandao nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Na fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua.

Hii inapelekea wakopaji kujikuta wanalipa fedha nyingi kuliko walichokopa sababu tu ya baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu wa Bank hizo.

Tazama habari katika link hii 👇🏿

Hapa nchini kwetu kuna habari ya Mfanyabishara kuidai Bank ya Exim na ilishindwa kumlipa na kupelekea Mahakama kuamuru kuuza mali za Bank ili kufidia Deni lake

Tazama link hapo chini 👇🏿


Huu mchezo umekua ukishamiri katika Mabenk mengi na kupelekea wafanyabishara wengi kufilisika. Kuna Taarifa wafanyabiashara kadhaa wapo katika Mkwamo ws kiuchumi kupitia Bank hii iliyofanya Fraud Uganda na kila wakijaribu kuifikia Mamlaka wanakwama sababu inaonekana hii Bank ina vigogo nyuma yake. BOT na Wizara ya Fedha nendeni kaitazameni Bank ya Equity kabla ya kutokea yaliyotokea Uganda na kwingineko.

Yapp malalamiko ya wafanyabiashara kuongezewa Interest katika Mikopo yao na lengo ni kufilisiwa ambapo watumishi wasio waaminifu na wasio na maadili ya kazi hushiriki kuhakikisha Mteja anashindwa kulipa Mkopo kutokana na mazingira magumu wanayomuwekea ili wauze mali zao kwa maana kuna Interest katika kuuza mali maana wengi wao wana mahusiano na kampuni za Minada.

Serikali yetu Sikivu, Tupieni jicho eneo hilo muhimu ili kuboresha Uchumi wa Watanzania.

Hii imenifikirisha
 

Attachments

  • IMG-20240416-WA0005.jpg
    IMG-20240416-WA0005.jpg
    36 KB · Views: 4
IMG-20240416-WA0005.jpg

Leo nilikua napitia mtsndso nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Ns fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua.

Hii inapelekea wakopaji kujikuta wanalipa fedha nyingi kuliko walichokopa sababu tu ya baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu wa Bank hizo.

Tazama habari katika link hii 👇🏿

Hii imenifikirisha
 
Equity jaman ndo mambo yao, huu uchunguz BOT wachukulie siriazi, yani Tanzania wanafilisi wafanya biashara wanacheza na hesabu na mikataba hadi mfanya biashara akate tamaa, kuna huyo Isabela equity tz anatumia kila njia iwe polisi, iwe nguvu ya watu wamahakama, na kama alivokamatwa wa Uganda hawajakosea ndio sifa zao kuu, haki ya nan vijana wanalia mtaani, serikali hii haiwez ukawaharibia maisha watanzania ikanyamaza, wachukuliwe hatua za haraka, huwez fananisha benki hizo za nje na za ndani, hao ni wezi wakisasa.
 
Equity bank na Isabella Tanzania ndo wamechachama hata kuliko huko Uganda , BOT wasipofatilia uwizi wanaoufanya na kuhujumu wafanyabiashara basi baisahara nying zitaharibiwa, huu ni wizi tu wanatumia nguvu zote za fedha na kucheza na mikataba na mahesabu mfanyabiashara afeli, BOT chini ya Mama na Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan tunawaomba muwaangalia sana hizi bank zinazokuja na mikopo zenye tija za kufilisi na sio kusaidia, zita teteresha uchumin na hali ya Ajira nchini, Hili ombi serikali waliangalie kwa makini, wanatumia watu kila ofisi ya utendaji kuhakikisha kuwa wafanyabiashara wanaanguka, BOT hili suala kaka @Mastari hujakosea kuwaiita walifanyie kaz haraka iwezekanavyo
 
Ndugu zangu nawasihi tu kama dada yenu mjaribu kufatilia habari na kupata taswira ya kwel nilikuwa mfanyakazi bank ya Equity Tz position nzuri tu nikajifunza sana, wanasafisha hela zinatoka nje na wanasafisha kwa kuwakata wateja kwa mikopo ya ajabu na Kuzipeleka nje ya nchi bila kufata utaratibu wa Mamlaka husika. Hizo hela hazina faida kwetu bongo na wanakuwa na makato ya ajabu mikopo ya Equity huwez kulipa mnamini mimi, ni hatari kwel kwa wafanyabiashara watu wa chini, hela zao hapa ni za mpito hazikai.
haijatosha fatilia tu wamewashtaki hadi UDART mabasi ya mwendo kasi sasa hao si Serikali kabisa.
 
Back
Top Bottom