Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,028
- 12,353
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika weusi?
Mbona tunazidi kuwa vichaa, wendawazimu na matahira kupitia hizi imani zao?
Kiliwa shinda nini kutulazimisha kusoma na kutupa elimu? Kwa nini hizo nguvu za kueneza dini zao wasingetumia kutulazimisha elimu wenda leo hii tusingekuwa wapumbavu hivi.