muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu BoT kuongeza umakini katika hizi Benki

    Leo nilikua napitia mtandao nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Na fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua. Hii inapelekea wakopaji kujikuta wanalipa fedha nyingi kuliko walichokopa sababu tu ya baadhi ya wafanyakazi...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  3. baba aura

    JamiiForums Tanzania Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho: 2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana: 3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au wamzuie kupigana kwa maana ataua mtu! 4. Wenye busara zao nao hawataacha kudadavu yao: 5. Kwa...
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Niliyoshuhidia Leo maeneo ya Skansca Salasala yamenifurahisha kweli hela ni muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu Gharama zake za kutisha Nimeweka kiambatanisho Kwa rejea yenu Niwatakie mchana mwema wakuu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Gamondi jifunze kupumzisha wachezaji wako muhimu unapokuwa na mechi muhimu za kimataifa

    Japo unafanya kazi nzuri, lakini ulikosea sana kuweka kikosi kizima cha first eleven ulipocheza na Azam katika mchezo wa ligi kuu huku ukikabiliwa na mechi muhimu dhidi ya Mamelodi. Najiuliza tungepata majeruhi zaidi, leo hali ingekuwaje? Kesho mkifuzu, ni bora kuchezesha asilimia kubwa ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hizi teuzi na tenguzi zimetosha, tujadili kipi tuache kipi?

    Salaam, shalom!! 1. Tulipokuwa tukisubiri kupokea Mikataba mliyoiita HGA ya mkataba wa Bandari mlisema mikataba hiyo itakuwa wazi italetwa na kujadiliwa bungeni, hatujakaa sawa, tukasikia mikataba imeshasainiwa huko Dodoma kimya kimya na siku hiyo hiyo akateuliwa Katibu Mwenezi wa chama...
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
  11. Ndata

    JamiiForums Tanzania Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  12. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

    1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga? 2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi? 3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama kijana mtafutaji ni muhimu kujiunga na jumuiya mahali unapoishi

    KAMA KIJANA MTAFUTAJI NI MUHIMU KUJIUNGA NA JUMUIYA MAHALI UNAPOISHI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umeenda mbali na nyumbani, ni aidha kutafuta maisha au umepelekwa na serikali. Moja ya mambo muhimu kabisa ya kufuata ni pamoja na kujiunga na jumuiya za kijamii. Kama ni mkristo nenda...
  15. Christian K

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata mkopo HESLB kwa kuweka barua ya kustaafu kwa mzazi

    kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
  16. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  17. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaona shape ni jambo muhimu kwao wakati wanaume hawapendelei kuoa wa hivyo?

    Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano. Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao. Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

    Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mitandao Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika Je, wewe ni...
  19. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Ishara ni muhimu katika jamii

    Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana ulemavu wa kusikia. Hivyo, watu wengi wanahitaji kutumia lugha ya ishara kama njia ya mawasiliano...
  20. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
Back
Top Bottom