muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha kupigia nyungu Muhimbili bado kipo?

    Hii nchi ina vituko sana aisee! Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka. Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda? Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu? Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo...
  2. Mgambilwa ni mntu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoboa Siri ya aliyeamua yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili: Ulikuwa Msimamo wa Mbowe kuwa ni lazima nipelekwe Nairobi

    Tundu Lissu akipelekwa Nairobi Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki...
  3. curie

    JamiiForums Tanzania Bila Barakoa, Muhimbili huingii kuanzia leo. Msindikizaji mmoja tu

    Twende na sayansi
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki leo akiwa Muhimbili

    Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo. Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61. Ismail atakumbukwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

    Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
  7. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

    Leo nimemtembelea ndugu hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama alizonieleza imebidi nione haja ya Serikali yetu kufanya Jambo katika hili. Wacha gharama za usafiri wa mgonjwa na wauguzi kutoka wilayani, bado kuna gharama za malazi na matibabu. Na gharama za matibabu nilivyoziona, mwananchi wa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

    Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa. 1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 2. Kampuni ya Mbolea Tanzania 3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 4. Mfuko wa UTT 5. Shirika la Magazeti Tanzania 6. Shirika la Posta Tanzania 7. Shirika la Reli Tanzania 8. Shirika la Simu Tanzania 9...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

    Habari wapendwa, Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili. Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
  10. S

    JamiiForums Tanzania Muhimbili wamgomea Kigwangala

    Kuna taarifa inayosambaa mitandaoni na inayodaiwa ni kutoka Hospital ya Muhimbili wakimjibu na kumpinga Kigwangala kuhusu wazo lake la kutaka mashine ya kupiga nyungu iondolewe. My take: Kama hio imekuwa ni biashara nzuri, basi tutarajie mengi. Zaidi, soma: Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wameshauriwa kuondoa hicho kituko cha nyungu kilicho Muhimbili na waanze kufuata mbinu za sayansi

    Kuna huyu mbunge wa Tanzania ambaye ni CCM kindakindaki anayeitwa Hamis Kigwangalla, ameshauri waondoe hicho kitu walichoweka kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili na kuanza kukumbatia mifumo na mbinu za kisayansi ili kukabiliana na corona. Inachekesha sana maana hawa waliimba sana mapambio...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
  13. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kinachotengeneza Barakoa zinauzwa Muhimbili kiko wapi na kinamilikiwa na nani?

    Swali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.
  15. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa neno baada ya vitanda kuonekana nje

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa huwa inao utaratibu wa kupuliza dawa ya kuuwa wadudu karibu maeneo yote ya hospitali na kwamba wakati wa zoezi hilo wagonjwa hutolewa nje na kuwekwa chini ya mahema. Kauli hiyo imetolewa kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter wa hospitali hiyo, baada ya...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

    Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake. Amina
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hospital ya Muhimbili kuanza kufanya upandikizaji kwa wenye Saratani ya Damu

    SERIKALI imesema Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), itaanza kupandikiza chembechembe hai kwa wagonjwa wa saratani ya damu kuanzia Machi mwaka huu.  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, alitangaza neema hiyo jana alipozuru katika hospitali hiyo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia amjulia Hali DC wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi. Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

    Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili. Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa hatari usiofahamika kwa wengi watikisa Muhimbili

    *Husababisha maradhi mengine *Muhimbili watibu watano kila wiki *Madaktari bingwa wataja chanzo *Matibabu yahusisha kukata utumbo KUTOKWA haja kubwa bila kujijua ni ugonjwa unaosababishwa na kukosa seli kwenye utumbo mkubwa zinazosaidia kusukuma haja kubwa kuitoa ndani ya utumbo. Wataalamu wa...
Back
Top Bottom