muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Usalama wa vyakula kukaa muda mrefu kwenye Friji

    Niko single. Mwanzoni mwa mwezi huwa nachemsha kilo mbili za maharage. Yakisha poa nayaweka kwenye Friji. Sasa huwa nachota kidogo nakaanga, nasonga ugali, siku imepita. Kwa mtimdo huu harage hilo huwa linadumu mwezi mzima. Je, wadau hii ni salama kwa afya?
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sina muda wa kukaa kwenye mdahalo na Bulembo, ni muhuni na tapeli aliyedhohofisha jumuia ya wazazi.

    "Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwataka Wakulima wapande mazao ya muda mfupi ndio imetosha?.

    Siku chache zilizopita nilikuwa safarini na nimeona maeneo mengi Wakulima wakiweka mbegu mashambani. Ingawa sikuweza kujua aina ya mbegu wanazopanda lakini kwa mazoea tuliyonayo wengi wao watakuwa wanapanda mahindi au Maharage. Ni jambo la kutia moyo kutokana na kusuasua kwa mvua za msimu...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Prof Mark J Mwandosya: Inawezekana Mbunge au waziri kupata muda wa kuandika tasnifu?

    Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Wameanza kugombania Power, ukweli umekaribia!

    Hata ipite miaka 1000 bado tutatafuta ukweli, Raisi Magufuli (RIP) ni kama J.F. Kennedy wa USA. Kugombania kwenu power kutawafanya mchukiane na kuchukiana mmeanza, 2025 patachimbika na hii ni pande zote sehemu ya CCM na washirika wake Chadema na akina Zito Kabwe. They threw Mbowe under the bus …
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Twitter wajuaji wa kila kitu, wanafanya kazi muda gani?

    Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?. Wanapenda maoni yao...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

    Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo. Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  9. Tuelimishanee

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Dar walia na kampuni ya HQ kuwapa taulo zilizokwisha muda wa matumizi

    Na Mwandishi wetu, Dar Kampuni inayozalisha taulo za kike ya Human Cherish (HQ), Desemba 8, 2021 ilifanya Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza uboreshaji wa huduma za kampuni hiyo,Sambamba na kugawa bidhaa hizo kwa waandishi waliokuepo katika Mkutano huo. Katika hali ya...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chongolo: Popote Duniani muda wa porojo za siasa ni kipindi cha kampeni pekee

    "...hata huko kwenye Nchi vinara wa demokrasia huwa wanafanya mikutano ya hadhara na kupiga porojo za siasa kipindi cha kampeni za uchaguzi pekee na baada ya hapo aliyeshinda huachiwa aendeshe Nchi." "...sasa huu utamaduni wa eti kila wakati wanasiasa wafanye siasa hata huko Duniani haupo na...
  11. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

    Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Chadema Tunasajili wanachama kidijital huku hatushiriki chaguzi ni kama tunapoteza muda

    Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane. Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la? Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuzikwa na viungo ambavyo Kuna watu wanavihitaji? Iletwe sheria ya kuwapa incentives (motisha) watu wataovigawa wakifa.

    Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao. Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  15. kacnia

    JamiiForums Tanzania FUTIKA FUTIKA: Kilevi kinachofuta akili ndani ya muda mchache baada ya kunywa

    Maandalizi *Pukuchua mbegu zake *Changanya na maji lita 1 *Acha baada ya masaa 6+ *Kunywa Matokeo: Kati ya matukio haya manne, moja nimelishuhudia juzi kwa kijana mmoja ninayefahamiana naye na leo aliponiletea mmea huu ilibidi niupige picha nilete humu kwa ajili ya kujuzwa zaidi juu ya mmea...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kigogo yote,mabibo na Mburahati muda huu usiku hamna maji na umeme.walaaniwe wote wanaohujumu hizi huduma

    Thread was deleted
  17. S

    JamiiForums Tanzania Je, kusahau ndoto uliyoota muda mfupi kabda ya kuamka huwa ni kawaida?

    Habari za Jumatatu wana JF Kwa ninavyoelewa ndoto zina maelezo tofauti kwa watu tofauti. Kuna fikra kadhaa lakini kubwa ni mbili Fikra(school of thought) ya kwanza wanasema ndoto ni matokeo ya mawazo yako au mambo unayoyafikiria sana au marudio ya vitu ambavyo ulishawahi kuvifanya zamani...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

    Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi. Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile...
  20. tamsana

    JamiiForums Tanzania Muda (Kilometre) wa kubadilisha Automatic transmission fluid (ATF)

    Habari ya majukumu wadau. Baada ya kuagiza gari used kutoka Japan ilipofika nchini nilibadilisha engine oil na ATF. Kwa maelezo ya wataalam (garage) ambako nilifanyia service walinishauri kubadili ATF baada ya kutembea angalau 50k kilometres. Hadi sasa nimetembea 20k kilometres na kwa sababu...
Back
Top Bottom