muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Madame S

    JamiiForums Tanzania Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

    Habari za muda huu, Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini. Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na...
  2. Ernestcuthbert

    JamiiForums Tanzania Dereva Wa uber na Bolt natafuta kazi

    Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za Uber ikiwa plate number njano au nyeupe haina shida. Also apart from Uber, pia natafuta nafasi ya...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Viongozi wanaotukalisha barabarani ili misafara yao ipite hawajali wala kuheshimu muda wetu

    Thread was deleted
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanesco: Mgao wa umeme hautakuwa mkubwa kwani ni 20% tu ya mitambo ndio itapunguza uzalishaji

    Mkurugenzi mkuu wa Tanesco ndugu Maharage amesema hakutakuwa na mgao mkubwa wa umeme kwa sababu ni 20% tu ya mitambo yake ndio itapunguza uzalishaji. Hata hivyo kuna umeme wa gesi utaongezeka na tayari jana wameingiza megawati 8. Source: ITV habari
  8. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hotel tano za Jambiani, zateketea kwa moto

    Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Hotel 5 zilizopo Jambiani Zanzibar zinateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo hakijafahamika na kwamba hoteli zilizoathirika ni pamoja na Villa de Coco, Sharazad, Spice island, Fun Beach na Cobe. Chanzo: TSN
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Anayenitafuta sina muda, ninayemtafuta hana muda na mimi

    Nimepigiwa simu na A baada ya dakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya nitakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike. Ngoma drooo.
  11. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadili jina kutoka NIDA?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza hivi inachukua muda gani katika kubadirisha jina la kwenye kitambulisho cha NIDA ikiwa ushafata taratibu zote ikiwemo, Deed poll, tangazo la gazeti na kulipia elfu ishirini NIDA, je naweza subiri ndani ya muda gani hadi wabadirishe jina langu kwenye database yao...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Soko la Manzese lateketea kwa moto

    Soko la manzese lililopo tunduma mpakani mwa TANZANIA na Zambia limeteketea kwa moto. --- Tunduma. Soko la Manzese lililoko katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe linawaka moto muda huu. Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeanza leo Jumanne Novemba 16, 2021 asubuhi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Chanjo ya COVID-19 hauchukui muda mrefu

    Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu? Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa chanjo za Pfizer-BioNTech na Moderna huchomwa kwa awamu mbili, mchakato huwa ni wa haraka na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya Biashara Mwenge yaungua moto

  15. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika mjadala wa Wasiochanjwa katika Club House ya Jamiiforums tarehe 12/11/2021

    Utoaji wa Chanjo ya #COVID19 umekuwa ukihamasishwa kona zote za Dunia huku baadhi ya Nchi zikichukua hatua za kuweka Vikwazo kwa Watu ambao hawajapata Chanjo kurudi Maofisini, kusafiri au kushiriki shughuli za kijamii Wasiochanja wana sababu mbalimbali ambazo zinawapelekea kusitasita katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania wapenda Michezo hasa Soka na Timu yao ya Taifa ya Taifa Stars

    Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

    ||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale, === Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi. Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
  18. Cvez

    JamiiForums Tanzania Maprofesa kutaka kuongezewa muda wa Kustaafu ni ubinafsi wa hali ya juu

    Ni kweli tuna unapungufu wa wanataaluma katika vyuo vyetu ila haijatokea kwa bahati mbaya. Katika vyuo vyetu hivi kama huna Surname inayofanania ni na Profesa fulani kupata nafasi ya ukufunzi hiyo ni ndoto. Katika sehemu ambazo kwa kiasi kikubwa zimejaa undugu na kujuana kwa kiasi kikubwa ni...
  19. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Ajali yatokea Buigiri Chamwini, dereva wa bodaboda agongwa na kufariki dunia

    Basi la tashrif linalotoka Tanga to dom limemgonga kijana aliyekuwa akiendesha bodaboda na kuacha njia kijana amefariki hapohapo dereva wa basi kakimbia,dereva wa basi alikuwa anaforce kuzipita gari ambazo zimesimamishwa kwasababu ya msafara akamgonga kijana. Imetokea muda huu.
  20. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
Back
Top Bottom