Chama kutambulishwa muda wowote Simba

Mkuu hayo mafununu na matetesi mbona yapo miezi sasa? Ni kama wimbo mzuri. Watu wanapoonekana kuchoshwa na nyimbo zingine unawekwa huo kuwachangamsha tena

Mashabiki tunataka Clotus Chota Chama aje Simba SC na sio kika siku taarifa za tetesi kua anakuja. Wameshatuambia sana hizo habari hadi hatuziamini tena
 
Kunywa maji kwanza
 
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!

Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
Kwa mfumo tunaoutumia wa sasa pale simba jamaa atatuchelewesha sana tu.....kule yanga kwa wapoozeshaji mpira ndio kulikua kunamfaa
 
Mwaka wao huu

255717839062_status_2851490b6bb04cb7b47bc62cec0a6b0f.jpg
 
Mkuu hayo mafununu na matetesi mbona yapo miezi sasa? Ni kama wimbo mzuri. Watu wanapoonekana kuchoshwa na nyimbo zingine unawekwa huo kuwachangamsha tena

Mashabiki tunataka Clotus Chota Chama aje Simba SC na sio kika siku taarifa za tetesi kua anakuja. Wameshatuambia sana hizo habari hadi hatuziamini tena
Kweli hizi tetesi zimekuwa too much , watu tunataka Chama afike kabisa ndo tuamini na sio blah blah .
 
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!

Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?

IMG-20220106-WA0009.jpg
 
Mambo yameiva, kaa karibu na simu au tv yako kuanzia kesho kuna tangazo zito
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!

Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom